Monday, August 4, 2014

NATASHA: Ustaa Kwenye Ndoa ni Tatizo Kubwa;

Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ akiwa na mwanaye ,'Monalisa'.
Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amewataka wasanii wenzake kuachana na tabia ya kuingiza ustaa kwenye ndoa, jambo ambalo linasababisha kuwa na sifa mbaya ya kutodumu kwenye ndoa.

Akichonga na mwanahari wetu, Natasha alisema kuwa sababu ya ndoa za mastaa wengi kuvunjika ni kutokana na kujiona wao wako juu na kushindwa kuheshimu ndoa huku wakiwaona waume zao ni kitu cha kawaida.

Suzan Lewis ‘Natasha’ (katikati) wakati wa harusi yake.

“Mastaa mkishaingia kwenye ndoa wekeni ustaa pembeni, muwe na heshima ili tuweze kufuta dhana iliyojengeka kwa jamii kwamba ndoa za mastaa hazidumu,” alisema Natasha ambaye amedumu kwenye ndoa kwa takriban mwaka mmoja sasa.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Dillish Mathew's exposing her smooth body in a lovely bikini outfit..

 

habari kamili :: read more...

JEURI NYINGINE YA FEDHA YA DIDA WA Radio Times FM HII HAPA!

Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, Hadija Shaibu ‘Dida’ akipozi kwenye gari yake mpya.
Zimemtembelea! Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua magari mengine mawili kwa mpigo.

Hadija Shaibu ‘Dida’ akiikagua gari yake.

Dida amefanya kufuru hiyo ikiwa imepita miezi kadhaa tangu atangaze kuwa ana nyumba mbili maeneo ya Goba na Kigamboni pamoja na kuyaanika magari manne anayomiliki (Toyota Verossa mbili, Toyota Noah nyeusi na Toyota Vitz.)

MUONEKANO MPYA WA VERA SIDIKA KUTOKA KENYA HUU HAPA.


Akizungumza na Ijumaa Wikienda, rafiki wa karibu wa Dida aliyeomba hifadhi ya jina alisema ameshtushwa na kitendo cha shosti wake huyo kununua magari mawili kwa mpigo kiasi cha kumfanya ahisi kuna biashara nyingine anaifanya tofauti na utangazaji.

“Kanunua magari mawili, Toyota Noah na Toyota Brevis New Model. Yaani hata sisi mashosti zake anatufanya tuhisi labda anafanya ile biashara ya unga kama watu wanavyohisi.

“Ni kweli anafanya biashara zake lakini ndiyo apate fedha za kuonesha jeuri hiyo? Ila kama ni kupambana na maisha, sasa hivi anapambana kikwelikweli, hata akijiita Boss Lady ni sahihi kabisa,” alisema mtoa habari huyo.

Gari jingine la ‘Dida’ aina ya Toyota Noah.

Baada ya kupata taarifa hizo, mwandishi wetu alimtafuta Dida ili kujua ukweli wa magari hayo, alipopatikana alifunguka:

PICHA ZA BINTI ALIYELIWA KA.....BANG BAADA YA KUKOLEZESHWA POMBE.

“Siwezi kujiita Boss Lady kimdomomdomo tu, huwa napenda kufanya kitu watu ndiyo waseme, nimeongeza magari mengine mawili. Moja ni Noah kwa ajili ya biashara zangu na lingine ni Toyota Brevis la kutembelea,” alisema Dida aliyetengana na mumewe, Ezden Jumanne siku chache zilizopita. 

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

Nora Akana Tuhuma za Kuchoropoa Mimba.

Msanii  aliyewahi  kutamba  miaka  ya  nyuma  na  kundi  la  Kaole  Nuro  Nassoro  'Nora'  ameamua  kufunguka  baada  ya  tuhuma  nzito  iliyokuwa  inamkabili  ya  kudaiwa  kuchoropoa  mimba  ya  msanii  mwenzake.....

Nora  anadaiwa  kuwa  katika  uhusiano  na  mmoja  wa  wasanii  wa  siku  nyingi  huku  wiki  za  hivi  karibuni  akifululiza  kwenda  hospitali  na  wambeya  wakadai  ni  ujauzito  na  kwamba  yupo  kwenye  harakati  za  kuutoa.
ZISOME NA HIZI

Masogange Awatega mnaokesha Online;

PICHA ZA BINTI AKILIWA KA.....BANG BAADA YA KUKOLEZESHWA POMBE. 


Nora  mwenyewe  akiongea  na  mwandishi  wa  habari  hii  aliweka  wazi  kuwa  suala  la  kwenda  hospitali  kupima  ni  kawaida  yake  na  kwamba  maneno  hayo  yanakuzwa  na  wabaya  wake....

"Hakuna  suala  kama  hilo. Hivi  mtu  kwenda  kucheki  afya  yako  ndo  kutoa  mimba? mbona  wapo  wanaokesha  huko  na  hawasemwi?  Sina  mpango  huo  na  huyo  msanii  anayejitapa  kuwa  nimetoa  mimba  yake  nikimjua  atanieleza  ni  lini  nililala  naye  mpaka  akanipa  mimba",alisema Nora

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

KAJALA AFUMWA TENA NA JANAUME HUKO CHINA!

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’.
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Ijumaa Wikienda limeinyaka.

Kwa mujibu wa kachero wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) aliyepiga kambi Hong Kong, China, mwishoni mwa wiki iliyopita Kajala alionekana na mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Meddy kwenye pati hiyo ambayo eti inasemekana ilihudhuriwa na watu watatu.

Ilisemekana kwamba Kajala amejibu mapigo kwa kujinyakulia kijana kwa ajili ya kumkosha moyo na kumsafisha na skendo za waume za watu.Ijumaa Wikienda lilipomtafuta Kajala kwa njia ya simu hakuwa hewani na hata alipotumiwa ujumbe kwa WhatsApp hakujibu.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

MUONEKANO MPYA WA VERA SIDIKA KUTOKA KENYA HUU HAPA.

habari kamili :: read more...

Sunday, August 3, 2014

MUONEKANO MPYA WA KUTAMANISHA WA VERA SIDIKA KUTOKA KENYA HUU HAPA.


Model Vera Sidika kutoka Kenya ambaye anamake headline kwenye vyombo vya habari baada ya kujibadilisha sura yake kwa kufanya bleaching,sasa hivi karibu kupitia moja ya mitandao ya kijamii alifunguka na kusema kuwa anataka kujibadilisha tena baada ya kuona watu wengi wamemuiga na kuanza kuvaa weaves yani nywele za bandia,sasa anapanga kujibadilisha tena na hivi ndivyo atakavyo onekana




Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Masogange Awatega mnaokesha Online;

 

habari kamili :: read more...

TETEMEKO LA ARDHI LAUA 150 CHINA.


AKRIBANI watu 150 wamepoteza maisha huku 1,400 wakijeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea katika Jimbo la Yunnan lililopo kusini-magharibi mwa China leo. Tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa richa 6.5 limesababisha kubomoka kwa majengo yakiwemo mashule.

Waokoaji wakiwa wamembeba mtoto aliyejeruhiwa baada ya tetemeko hilo.


Jengo likiwa limeharibiwa na tetemeko hilo lililotokea leo.

Mtoto aliyepoteza maisha katika tetemeko hilo.

Uharibifu uliosababishwa na tetemeko hilo.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

Christina Shusho,Flora Mbasha,Upendo Nkone na Rose Muhando watoa burudan kwenye Shereke za Kusherekea Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima.


 Christina Shusho na Flora Mbasha wakiimba sambamba na waumini wengine waliohudhuria misa hiyo.

Flora Mbasha akiimba katika kanisa la Gwajima.

Halima Mdee akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia waumini wa kanisa hilo.

Mchungaji Gwajima akicheza kwa shangwe.

Rose Mhando akicheza kwa hisia na shangwe kubwa.

Umati wa watu waliohudhuria misa hiyo wakifuatilia kwa makini.

Upendo Nkone akiimba kwa hisia kali.

Gwajima (kushoto) akicheza pamoja na Christina (Kulia).

WAUMINI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima leo wamefanya ibada ya shukrani kwa kupata helikopta.

Kanisa hilo lililopo maeneo ya Kawe jijini Dar limetoa shukrani zake za dhati kwa Mwenyezi Mungu kuwawezesha kumiliki helikopta hiyo ambayo itatumika zaidi kutoa huduma  sehemu mbalimbali za Tanzania na duniani kote.

Helkopta hiyo inakadiriwa kugharimu shilingi bilioni 7.5.

Misa hiyo iliyoanza majira ya asubuhi mpaka jioni ilifanyika kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers ambapo ilihudhuriwa na waimba injili maarufu nchini wakiwemo; Rose Mhando, Upendo Nkone, Christina Shusho, Flora Mbasha, John Lissu, Boniface Mwaitege, Munishi na wengineo.Christina Shusho na Flora Mbasha wakiimba sambamba na waumini wengine waliohudhuria misa hiyo.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI AKWIDWA LEO CHAMAZI DAR.

Askari feki akishangaa na kuduwaa mara baada ya jeshi la Polisi Kumtia nguvuni leo Katika Eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam Mapema leo.




Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

Picha za Justin Bieber akiwa mapenzini na Msichana Mupyaaaaa Kabisa Hizi Hapa Zicheki.


Pop star Justin Bieber aliungana na Kanye West,Kim Kardashian,P.Diddy na mastaa wengine kwenye mapumziko kwenye visiwa vya Ibiza. Baada ya party ya pamoja kuisha kila mtu aliendelea na party kivyake na Justin Bieber alionekana aki-enjoy muda wake na mshichana asiyejulikana.

Dillish Mathew's exposing her smooth body in a lovely bikini outfit.



 
Mikao yao na ukaribu wao kutokana na picha zilizopigwa wakiwa kwenye luxury yacht zinaonyesha kabisa wapo kwenye mapenzi. Wawili hao walitumia muda huo kukaa pamoja,kissing,kunywa na vitu vingine vizuri. Mapaparazi hawakuwaacha baada ya kuwapiga picha usiku huo kwasababu hadi asubui walipata picha zao bado wapo pamoja.

Exposed Beutiful and Attractive Pictures of Serena Wiliam.



Tetesi zinasema kwamba anaweza kuwa ni girlfriend mpya wa Justin Bieber.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

WAREMBO WA DOM WAPAGAWA MBAYA NA SHOO LA DK.CHAMELEONE.

Taswira mbalimbali za makamuzi ya mwanamuziki nguli kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone ndani ya Klabu Maisha iliyopo mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.

Chameleone akiwapagawisha mashabiki wake mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.

Dillish Mathew's exposing her smooth body in a lovely bikini outfit.




Msanii Y-Tony naye alikuwepo kutoa burudani kwa mashabiki ndani ya Maisha Club, Dodoma.

Mashabiki wakipagawa na shoo ya Chameleone.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

Dillish Mathew's Mshindi wa BBA aonyesha Mapaja yake Hadharani yaliyomsaidia Ashinde yacheki Hapa.

 Last year's Big Brother Africa winner, Namibia’s Dillish Matthews shared some dang photos of herself exposing her smooth body in a lovely bikini outfit.

KUZIONA LAZIMA UWE UMEZIDI MIAKA 18 MANAKE ZINATAMANISHA SANA.
KAMA UMEKIZI VIGEZO BOFYA HAPA

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

habari kamili :: read more...

AIBUUU YA MWAKA JIONEE..WAFUMWA WAKIPEANA NAKOZIII LAIVU KWENYE BANDA LA CHIPSI.

Jamaa huyu amenaswa ndani ya pub moja maarufu mjini jijini mwanza akiwa na kahaba wakiponda raha katika banda la chipsi bila wasiwasi wowote, watuwalioshuhudia tukio hilo wamedai jamaa alikuwa akila uroda usiku huo kwani baada ya kufumwa demu alionekana kuvaa nguo yake ya ndani faster, hii tabia ya kuchepuka ni hatari sana jamani ukimwi UNAUA

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Binti afanyiwa mchezo mchafu chooni baada ya kulewa vibaya akiwa Night Club. 

AU HII

(+18)DENTI WA CHUO AVUJISHIWA PICHA ZA UTUPU, BAADA YA KUJISAHAU NA KUMPA JAMAA FLASH YENYE GROUP WORK.

habari kamili :: read more...

JIONEE PICHA TAMU ZA TANYA..MUIGIZAJI TOKA KENYA, AMBAYE KILA MWANAUME KAMILI ANATAMANI KUMUOA.

JIONEE PICHA TAMU ZA SARAH HASSAN TANYA..MUIGIZAJI TOKA KENYA, AMBAYE KILA MWANAUME KAMILI ANATAMANI KUMUOA.

PICHA ZAKE ZAIDI BOFYA HAPA

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

UMEANGALIA PICHA ZA MREMBO VICTORIA KIMANI ZIKO HAPA ZICHEKI

AU HII

Binti afanyiwa mchezo mchafu chooni baada ya kulewa vibaya akiwa Night Club.

habari kamili :: read more...

MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA.

 MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.

Miss Tanga 2011, Zubeida Seif.

Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku mwenzake akimpinga ndipo mtiti ulipoibuka.

Mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.

“Wewe umezidi, unataka kusikilizwa wewe wakati ukweli unajulikana, acha hizo, ngoja nikuoneshe,” alisikika miss huyo ambaye sasa anatamba na wimbo wa Zaidi ya Wale.
Bahati nzuri watu waliokuwepo eneo hilo waliwaamulia, wakatulia.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Exposed Beutiful and Attractive Pictures of Serena Wiliam.

habari kamili :: read more...

Friday, August 1, 2014

SEKESEKE LA IDD; MMOJA ANUSURIKA KUBAKWA NA MWINGINE AMWAGIWA MAJI YA MOTO.

HILI kweli ni sekeseke la Idd el Fitr. Wakati changudoa mmoja akinaswa na kumwagiwa maji na wananchi waliochoshwa na vitendo vya ukahaba vinavyofanywa jirani na makazi yao, msichana mwingine aliokotwa akiwa amelewa chakari na kudhaniwa kuwa na mapepo, maeneo ya Sinza Afrikasana jijini Dar Jumanne hii.

changudoa anaswa na njemba na kumwagiwa maji ya moto.

Katika tukio la kwanza lililotokea Idd Mosi, wakazi wa maeneo ya Afrikasana, waliamua kuweka mtego na kumnasa changudoa aliyekutwa na mteja wake wakimaliza haja zao uchochoroni, wakiwa wametandika boksi chini.

“Yaani tumechoshwa na hawa machangudoa, inafikia hatua tunashindwa kulala kwa sababu ya miguno yao ya kimapenzi, hata watoto wanashtuka usingizini kwa sababu ya mambo hayo, ni hatari kwani wanaweza kujifunza ufuska, tumeamua kuwanasa leo jamani na itakuwa fundisho kwao,” alilalamika mmoja wa majirani hao.

Huku timu ya Operesheni Fichuo Maovu (OFM) ya Global Publishers ikiwa ‘beneti’ na majirani hao, ilishuhudia wawili hao wakikamatwa na kupewa adhabu ya kulowanishwa kwa maji ya moto ambapo nguo zao zililoa chapachapa.

Wakati changudoa huyo akipewa adhabu hiyo ili liwe fundisho kwa wenzake wanaokesha pembezoni mwa barabara ya Shekilango, msichana mwingine anayedhaniwa kuwa alilewa kupita kiasi, alikutwa akiwa amezungukwa na watu nje ya baa maarufu ya Corner.Changudoa huyo akijuta baada ya tukio hilo.

Kundi kubwa la watu lilimzunguka mwanamke huyo kutokana na vitendo vyake kuashiria alikuwa amelewa bwii, wengine wakiamini alikuwa na mapepo hivyo kutaka kujua namna ya kumsaidia.

“Huyu dada jamani itakuwa majini yake tu yanamsumbua, si unajua watu wengine majini yao hayapendezwi na ulevi uliozidi kiwango, maana mtu mwenyewe haeleweki, tukimshika kumsaidia anataka kuturukia sasa sijui tufanyaje,” alisikika kijana mmoja akisema.

Hata hivyo, baadhi ya vijana waliokuwa eneo hilo walionekana kupanga mbinu za kumchukuwa msichana huyo na kwenda kumfanyizia, kitu kilichoshtukiwa na mabaunsa wa baa hiyo ambao walimpandisha kwenye Bajaj na kumkimbiza Kituo cha Polisi Mabatini ambako baada ya askari kuwasikiliza, walishauri apelekwe hospitalini.Binti anusurika kubakwa baada ya kulewa chakali.

Alipelekwa Hospitali ya Palestina ambako baada ya kupimwa, alionekana kunywa pombe kali kupindukia, hivyo kuwekewa dripu.

IMEANDALIWA NA: Chande Abdallah, Gladness Mallya, Shani Ramadhan, Mayasa Mariwata, Deogratius Mongela na Denis Mtima.




Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Binti afanyiwa mchezo mchafu chooni baada ya kulewa vibaya akiwa Night Club.

habari kamili :: read more...

DIAMOND: SITAOA KAMWE; SIRI YA MADEMU MSURURU YAFICHUKA.


Wema Isaac Sepetu akiwa kwenye pozi la kimahaba na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
Kutoka moyoni? Wakati bimkubwa Wema Isaac Sepetu akijiaminisha na kuhisi kuwa amepata mume ambaye ni baba bora, mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kamwe hafikirii kuoa, Ijumaa lina cha kukuhabarisha.

Kauli hiyo ya Diamond inakuja wiki kadhaa baada ya Wema kuonekana na pete ya ndoa kidoleni kisha kukiri kuvishwa na ‘kichaa’ huyo wa Bongo Fleva ambaye amerejea kutoka Marekani alikotwaa Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki zilizokwenda kwa jina la African Muzik Magazine (AFRIMMA) 2014.

Hofu ya kuoa
Akizungumza na gazeti hili kwenye mahojiano maalum, Diamond alisema kuwa anahofia kuoa kwa madai kwamba akifanya hivyo anaweza kuanguka kimuziki kitu ambacho hataki kimtokee maishani mwake.

Kumbe!
Jamaa huyo ambaye siku hizi anajiita Dangote (jina la tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote) alitiririka kuwa zamani alikuwa na wazo hilo la kuoa lakini akiwatazama wanamuziki wenzake waliooa mwisho wa siku, makali yao hupungua na wengine kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki.

Bofya hapa kumsikia Diamond
“Unajua unaweza kuona kama vile nazungumza kitu cha utani lakini ndiyo ukweli wenyewe.
“Kuna wanamuziki wengi walikuwa kwenye peak (kileleni) lakini walipooa tu ‘kiki’ yao ilishuka ghafla katika muziki na wengine wamepotea kabisa.

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’.

“Ukifuatilia kwa umakini wapo mastaa wengi duniani ambao umri umekwenda sana lakini hawajaoa. Hata hapa nyumbani kuna mifano hai. Nadhani hofu yao ni kuona kuwa wakifanya hivyo watashuka kimuziki,” alisema Diamond.

Ni kweli kamvisha pete Wema?
Alipoulizwa kama ni kweli amemvisha pete ya uchumba Wema, msanii huyo hakuwa tayari kufafanua kwa kigezo kwamba pete ni urembo kama urembo mwingine kwa mwanamke.

Nje ya boksi
Baada ya kusikia msimamo wa Diamond, gazeti hili lilijiongeza na kutoka nje ya boksi ambapo lilizungumza na baadhi ya wasanii waliooa na wasiooa ambapo walieleza mambo mazito.

Jacqueline Wolper

Siri yafichuka
Katika mazungumzo yao kwa sharti la kutochorwa gazetini, wasanii hao walidai kwamba Diamond anahofia kupoteza kiki kwa warembo ambao wengi ndiyo mashabiki wake wanaoamini nao wanaweza kupata zali la kuolewa naye ndiyo maana humzingira na kumuomba namba ya simu kila anakokwenda.
Msururu wa mademu

Ilielezwa kwamba kwa kuwa jamaa huyo hupenda kuwa juu ndiyo maana alisharipotiwa kutoka na msururu wa wanawake mastaa ambao huchangia jina lake kuendelea kuwa juu.
Ilidaiwa kwamba wakati anatafuta namna ya kuchomoka kimuziki alidaiwa kutoka kimapenzi na warembo waliokuwa na majina madogo kama Rehema Fabian aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Miss Kiswahili.

Jokate Mwegelo.

Ilisemekana kwamba baada ya hapo alidaiwa kuwa na msururu wa wanawake mastaa kama waigizaji Jacqueline Wolper Massawe na Aunt Ezekiel Grayson na Jokate Mwegelo.
Baadaye jamaa huyo alidaiwa kuruka na wasichana ambao hawakuwa na kiki hivyo aliwamwaga ndani ya muda mfupi kama Najma na Natasha.

Baadaye Diamond alitua kwa Wema hadi akafikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba mwaka 2012 ndani ya Ukumbi wa New Maisha uliopo Masaki jijini Dar.

Kumbukumbu zinaonesha kwamba muda mfupi baada ya kumvisha Wema pete ya uchumba walimwagana ambapo Diamond alitua kwa Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’.

Irine Uwoya

Diamond hakudumu na Penny kwa madai kwamba mrembo huyo hakuwa na kiki kama ilivyokuwa kwa Wema ambaye jina lake halijawahi kushuka tangu alipovaa Krauni ya Miss Tanzania 2006/07.
Ilisemekana kwamba hata tuzo zilipungua ndipo akampiga Penny chini na kurudi kwa Wema ambaye inasemekana ndiye anayemng’arisha.

Hawa wameoa, je, wameshuka?
Baadhi ya mastaa waliooa ni pamoja na Mohamed Ahmed ‘Z-Anto’, Nurdin Bilal ‘Shetta’, Amini Mwinyimkuu, Lawrence Marima ‘Marlaw’, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ na wengineo.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Inasemekana Baada ya kauli ya Ally Kiba huu ni ujumbe WA MAJIBU kutoka kwa Diamond.

habari kamili :: read more...
 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top