Sunday, August 3, 2014

MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA.

 MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.

Miss Tanga 2011, Zubeida Seif.

Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku mwenzake akimpinga ndipo mtiti ulipoibuka.

Mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.

“Wewe umezidi, unataka kusikilizwa wewe wakati ukweli unajulikana, acha hizo, ngoja nikuoneshe,” alisikika miss huyo ambaye sasa anatamba na wimbo wa Zaidi ya Wale.
Bahati nzuri watu waliokuwepo eneo hilo waliwaamulia, wakatulia.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Exposed Beutiful and Attractive Pictures of Serena Wiliam.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top