Msanii huyo alidai kuwa alikuwa anafikiria kuwa ni Nigeria ndiyo inayongoza kwa wanawake warembo barani Afrika, lakini sasa hivi kagundua kumbe kuna eneo ambalo linastahili sifa hiyo ambalo ni Afrika ya Mashariki. Kweli kutembea kuona mengi!!!

Alidai kuwa warembo wa maeneo hayo walivyo wazuri na wenye mvuto wa kimapenzi, utadhani kuwa hawaendi chooni ama hawakuzaliwa na binadamu wa kawaida!!!!! Jamaa kashikwa pabaya kweli kweli!!
Watu wengi sana walikubaliana na maneno ya msanii Davido kwa maana ni dhahiri kuwa, ukifanya utafiti kuanzia kule kusini mwa afrika mpaka kaskazini, magharibi mpaka mashariki, utajionea

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment