Monday, August 4, 2014

NATASHA: Ustaa Kwenye Ndoa ni Tatizo Kubwa;

Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ akiwa na mwanaye ,'Monalisa'.
Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amewataka wasanii wenzake kuachana na tabia ya kuingiza ustaa kwenye ndoa, jambo ambalo linasababisha kuwa na sifa mbaya ya kutodumu kwenye ndoa.

Akichonga na mwanahari wetu, Natasha alisema kuwa sababu ya ndoa za mastaa wengi kuvunjika ni kutokana na kujiona wao wako juu na kushindwa kuheshimu ndoa huku wakiwaona waume zao ni kitu cha kawaida.

Suzan Lewis ‘Natasha’ (katikati) wakati wa harusi yake.

“Mastaa mkishaingia kwenye ndoa wekeni ustaa pembeni, muwe na heshima ili tuweze kufuta dhana iliyojengeka kwa jamii kwamba ndoa za mastaa hazidumu,” alisema Natasha ambaye amedumu kwenye ndoa kwa takriban mwaka mmoja sasa.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Dillish Mathew's exposing her smooth body in a lovely bikini outfit..

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top