Monday, August 4, 2014

Nora Akana Tuhuma za Kuchoropoa Mimba.

Msanii  aliyewahi  kutamba  miaka  ya  nyuma  na  kundi  la  Kaole  Nuro  Nassoro  'Nora'  ameamua  kufunguka  baada  ya  tuhuma  nzito  iliyokuwa  inamkabili  ya  kudaiwa  kuchoropoa  mimba  ya  msanii  mwenzake.....

Nora  anadaiwa  kuwa  katika  uhusiano  na  mmoja  wa  wasanii  wa  siku  nyingi  huku  wiki  za  hivi  karibuni  akifululiza  kwenda  hospitali  na  wambeya  wakadai  ni  ujauzito  na  kwamba  yupo  kwenye  harakati  za  kuutoa.
ZISOME NA HIZI

Masogange Awatega mnaokesha Online;

PICHA ZA BINTI AKILIWA KA.....BANG BAADA YA KUKOLEZESHWA POMBE. 


Nora  mwenyewe  akiongea  na  mwandishi  wa  habari  hii  aliweka  wazi  kuwa  suala  la  kwenda  hospitali  kupima  ni  kawaida  yake  na  kwamba  maneno  hayo  yanakuzwa  na  wabaya  wake....

"Hakuna  suala  kama  hilo. Hivi  mtu  kwenda  kucheki  afya  yako  ndo  kutoa  mimba? mbona  wapo  wanaokesha  huko  na  hawasemwi?  Sina  mpango  huo  na  huyo  msanii  anayejitapa  kuwa  nimetoa  mimba  yake  nikimjua  atanieleza  ni  lini  nililala  naye  mpaka  akanipa  mimba",alisema Nora

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top