Sunday, August 3, 2014

TETEMEKO LA ARDHI LAUA 150 CHINA.


AKRIBANI watu 150 wamepoteza maisha huku 1,400 wakijeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea katika Jimbo la Yunnan lililopo kusini-magharibi mwa China leo. Tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa richa 6.5 limesababisha kubomoka kwa majengo yakiwemo mashule.

Waokoaji wakiwa wamembeba mtoto aliyejeruhiwa baada ya tetemeko hilo.


Jengo likiwa limeharibiwa na tetemeko hilo lililotokea leo.

Mtoto aliyepoteza maisha katika tetemeko hilo.

Uharibifu uliosababishwa na tetemeko hilo.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top