Showing posts with label Afya. Show all posts
Showing posts with label Afya. Show all posts

Friday, January 9, 2015

British Mother who still Breastfeeds her 6-yr-old Daughter says she has no plans to stop.

 Denise Sumpter,44, still breast-feed her 6-year-old daughter Belle who is the oldest of her children and Denise says she'll continue do to so until Belle decides it's time to stop.

"I'll feed Belle as long as she asks," the 44-year-old mother told Daily Mail.The little girl nurses anywhere from twice a day to once a week. Sometimes she'll join her 18-month-old brother, Beau in a feeding. Other times she'll latch one when she's looking for some one-on-one time with her mother.

"I don't think there's anything weird about it. I feed both children on demand, whenever they want it," Denise says.

sponsored post

Denise, a Ph.D. student studying ancient science in London, credits her "mama's milk" to the vigor of her kids.

She says, "My children have hardly been ill. Beau came down with something the other day and because I nursed him through it he was better in 24 hours. I've had similar with Belle. If they're upset it calms them. It helps them sleep."

"I used to get the odd comment from relatives who'd say, 'Here we go with the milk thing again,' but I think because people know I'm confident in my decision they let me get on with it."

"People think by feeding Belle this long I will stunt her confidence. But she is extremely independent," she continued.

"Her teachers say she is mature for her age. If you'd asked me five years ago I never would have thought I'd still be breast-feeding Belle. However, it turned out to be one of the best things I could have done for my family."

Denise says that her daughter understands that she is not the norm. She even pretends to breast-feed her dolls.

"When Belle finishes I'll be sad but it's a natural progression. Her milk teeth are going and I get the impression she won't be feeding for much longer. But she can take her time." And as for her son, Denise intends to breast-feed him as long as she has Belle, provided that's what he wants. "The other day at play group Beau picked up a toy bottle and didn't have a clue what it was. I was proud of that."

OFFICIAL VIDEO: ALIKIBA - MWANA.


UNGANA NAMI KATIKA FACEBOOK KWA KUBOFYA Like HAPO JUU

habari kamili :: read more...

Friday, December 12, 2014

Mfahamu mama anayepata mamillion kwa kuuza maziwa yake.

 Rebecca Hudson, kutoka mjini Manchester,Uingereza amepata zaidi ya pauni 3,000 kwa kuuza maziwa ya mama.
Mama huyo mwenye umri wa miaka 26, anasema kuwa wakati mwanawe alipozaliwa mapema mno , wiki kumi kabla ya siku iliyotarajiwa, matiti yake yakawa hayawezi kutoa maziwa.
Lakini baadaye alianza kupata maziwa mengi sana kupita kiasi.

Na kwa sababu mtoto wake alizaliwa kabla ya siku yake, alihitaji tu kutoa maziwa kidogo kama chakula cha mtoto wake aliyekua katika mashine hospitalini.

Alisema ''sikutaka kuyamwaga maziwa yaliyosalaa, kwa sababu ni kazi ngumu sana kwa mama kutoa maziwa kwenye Matiti yake.''
"kwa hivyo nilitafakari ili niweze kupata pesa za ziada, sioni ubaya wowote ikiwa nitayauza maziwa yangu. ''

Maziwa ya mama aliyohifadhiwa kwenye jokofu
Kwa hivyo Rebecca alikwenda kwenye mtandao wa Internet, na kugundua kuwa nchini Marekani kuna wanawake ambao tayari wanauza maziwa hayo. Hapo ndipo aliamua kuanza kuuza maziwa yake kwenye mtandao.

Ana wateja ambao yeye huwauzia maziwa yake kwa pauni 12.50 kwa kila chupa.
Wateja wake wengi huwa ni wanyanyuaji uzani ambao hutumia maziwa hayo yanayosemekana kuwa na madini muhimu sana kwa mwili, pamoja na wapishi ambao hutumia maziwa hayo kwa upishi. Kadhalika watu hununua maziwa hayo wakiamini kuwa inawapa nguvu za kimwili na kuwaezesha kingono.

Rebecca Hudson alisema kuwa kwake yeye kile ambacho wateja wake wanatumia kufanyia maziwa ni shauri yao, ''sitabagua na kuwauzia watu fulani na kuwaacha wengine.''

Alisema marafiki wake walimshangaa sana hasa kwa pesa alizoweza kupata kwa kuuza maziwa yake wakisema ni njia rahisi sana kujipatia pesa na kwamba wanatafakari kufanya hivyo na wao

BILIONEA NIGERIA AMZAWADIA TAYO $ 350,000 BAADA YA KUKOSA ZA BIG BROTHER HOTSHOTS.



UNGANA NAMI KATIKA FACEBOOK KWA KUBOFYA Like HAPO JUU

habari kamili :: read more...

Thursday, October 30, 2014

KOFI ANNAN: EBOLA NI UGONJWA WA WATU MASKINI NA SIO MATAJIRI.

Mwana Diplomasia kutoka Ghana ambaye pia ni Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan amesema ugonjwa wa Ebola ni wa ‘maskini’ na sio matajiri.Annan amesema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kituo cha CNN ambapo amezungumzia sababu kadhaa zinazopelekea mapambano ya dhidi ya Ebola kuchukua muda mrefu huku maelfu ya watu wakipoteza maisha.

Katibu Mkuu huyo mstaafu amesema Ebola ni ugonjwa wa maskini kwa kuwa tangu ugundulike ni takribani miaka 40 imepita, ambapo kwa nchi tajiri ingewezekana kufanyika tafiti ambazo zingesaidia kupata ufumbuzi wa tiba ya ugonjwa huo, kitu ambacho nchi maskini za Afrika hazina uwezo wa kuwekeza kwenye tafiti hizo.

Match report; Cornella 1-4 Real Madrid: Varane at the double in easy victory.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Thursday, October 16, 2014

Ebola Patient Treated in German Hospital in Leipzig Dies :: Mgonjwa wa Ebola afariki dunia nchini Germany..

Mfanyakazi wa Umoja wa mataifa aliesafirishwa mpaka Ujerumani akitokea Liberia wiki iliyopita baada ya kupatwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola, amefariki dunia kwenye hospitali ya St. Georg Ujerumani.

Kifo chake kinamfanya kuwa binadamu wa kwanza kufariki kwa Ebola ndani ya ardhi ya Ujerumani ambapo Mwanaume huyu raia wa Sudan mwenye umri wa miaka 56 alifikishwa kwenye hospitali hiyo akiwa na hali mbaya ambapo amefariki jana usiku baada ya hali yake kuwa mbaya pamoja na kwamba alipewa uangalizi mkubwa wa kupatiwa matibabu.

Kuna hii stori ya shirika la afya la umoja wa mataifa kwamba karibu watu 8,400 waliathirika na gonjwa la ebola ambapo 4,000 kati yao wamefariki.

Msudan huyu aliefariki dunia anakuwa mgonjwa wa tatu wa Ebola kutibiwa nchini Ujerumani sababu tayari kuna Mganda mmoja daktari amekua akitibiwa huko Frankfurt, wakati Yule Msenegal aliruhusiwa kutoka hospitali hivi karibuni baada ya kutibiwa kwa wiki tano.

 Bernhard Ruf, head of the clinic’s department for infectious diseases, said the patient suffered from a “very severe course of the disease” and the clinic’s hygienic measures were performed at the “highest level” to protect the hospital’s health care workers and the environment. The clinic safely destroyed all medical material contaminated with Ebola, he added.

The body of the deceased will now be cremated due to safety reasons, a spokeswoman for the city’s mayor said.

The patient has been the third Ebola fatality in Europe after two Spanish missionaries, Brother Manuel García Viejo and Rev. Miguel Pajares, died in September and August, respectively.

The hospital will issue a more detailed statement later in the day.

The Sudanese had been the third Ebola patient to be brought for treatment to Germany. The first patient, treated at a hospital in Hamburg, has recovered and returned home. The second patient, a Ugandan doctor, arrived for treatment in Frankfurt on Oct. 3.

Germany has around 50 hospital beds to treat patients infected with Ebola. Nine hospitals, including in the cities of Düsseldorf, Frankfurt, Leipzig, Munich and Stuttgart, have special isolation wards that deal with highly contagious diseases. Protection 

MUME WA MTU ANASWA LIVE AKIMNANILLIIIII JIMAMA KWENYE DANGURO SHULENI!.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Saturday, September 20, 2014

Unaambiwa; The best way to escape from police ransacking in Nigeria now is just to tell them that you have Ebola...LOL.

A funny scenario played out at what looked like illegal road block mounted by some mobile policemen around the Umunede new Road junction on the Asaba-Benin Expressway at the weekend as one of the policemen, believed to have hailed from the North, ran and shouted for help after mistaking Eboka for Ebola.

Those who saw the policeman running at the state of confusion also took to their heels, while others trapped in their vehicles that could not immediately run for their dare lives watched hopelessly for the worst to come.

UNAAMBIWA LAANA YA KANUMBA YAIMALIZA BONGO MUVI.

It was gathered that the mobile policeman had demanded to check the particularly of a privately owned car and shouted at the owner of the car to bring out his cars particulars, almost treating him like a suspect.

With the threatening look on the face of the policeman and the gun he was clutching, the car owner was said to have told him Eboka, causing him to take off at a frightening speed and shouting for help.

Scotland votes NO: Independence rejected in historic referendum.

Soon, other vehicles behind and his colleagues were also said to have run away as well, until they were told that the man’s name was Eboka, not Ebola

After being told that Eboka (which means Family Is Supreme in Ika language) was different from the Ebola virus by those who rushed to catch a glimpse of the unfolding drama, the fleeing police man returned.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Tuesday, September 9, 2014

ZIFAHAMU HATUA MUHIMU UNAPOFIKIRIA KUTONGOZA.


Jambo la kwanza lililo la msingi ni kufahamu anachokipeanda yule unayetaka kuanza kumfuatilia.Je ni mwenye kupenda hali gani,yuko makini au hayuko makini
Furaha ya wanawake wengi ni kuwa na mwanaume ambaye anajiamini.

HATUA ZA KUZINGATIA:

a) Mguse bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha,mwambie du umependeza;kama uko kwenye mazingira ambayo yanawezekana,Inashauriwa kumgusa kama unataka kuuliza jambo fulani,Hili ni jambo la msingi kwani kitaalamu linachangia kumjua mtu tabia yake na anavyoweza kukuchukulia katika mambo mengine unayotaka kuyasema.

b) Wanaume wengi wanakosea kwa kuomba namba za simu,lakini kitaalamu njia inayokubalika ni wewe mwanaume kumpa namba yako huyo mwanamke ambaye unafikiria kuanzisha mawasiliano nae kwa lengo kwamba mwisho wa siku awe mkeo.Au wakati mwingine unaweza kumpa simu yako ili aandike namba yake.

PICHA YA LULU INSTAGRAM IMEWAACHA MIDOMO WAZI WANAWAKE WANAOSHINDWA KUTUMIA UBUFU KAMA WAKE WA KUINGIZA MKWANJA.

c) Kama mnaweza kupata muda,mkaribishe sehemu kwa ajili ya kuongea zaidi.Mara nyingi usianzishe mazungumzo ya kumwambia mtu nataka kuoa,hata kabla hamjakaa na kusomana hata kama kwa sekunde kadhaa.

Ni aibu kuambiwa sikutaki au nina mwingine,lakini ukianza kwa vitendo,unaweza kujua kama hapa kuna dalili au kuachana na kile unachotaka kukisema.

Hata katika maisha ni vizuri kuwa mwangalifu kabla ya kuamua kumtongoza fulani na kukubaliana na fulani,pata muda wa kumchunguza kwani safari ya ndoa ni ndefu,inahitaji kuwa na mtuambaye kweli anafaa.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

JESHI LA MAGEREZA LAKANUSHA TAARIFA ZA UZUSHI KUWA BABU SEYA NA MWANAE WAMEACHIWA HURU

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Wednesday, September 3, 2014

HUYU NAYE AOTESHWA NDEVU, BAADA YA KULIPUKIWA NA BOMU MIAKA 1O ILIYOPITA.

  Joseph Jones akifanyiwa operesheni ya kupandikizwa vinyweleo vya nyusi na ndevu huko Miami. Kulia ni Dk. Jeffrey Epstein  na msaidizi wake Jose Armas (kushoto).


KIJANA Joseph Jones raia wa Youngstown nchini Marekani ameoteshwa ndevu pamoja na nyusi ikiwa ni baada ya miaka 10 tangu alipojeruhiwa kwa kulipukiwa na bomu barabarani nchini Iraq.

Dk. Jeffrey Epstein akimwekea Joseph Jones alama za wapi atakapootesha ndevu.

Joseph aliyepoteza vinyweleo vya usoni mwaka 2004 baada ya kujeruhiwa na bomu hilo alifanyiwa operesheni ya masaa nane ambapo alipandikizwa vinyweleo zaidi ya 3,000 kwa ajili ya kuotesha ndevu zake na nyusi.

Joseph baada ya kupandikizwa ndevu na nyusi.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Tuesday, September 2, 2014

SHILOLE AKIRI KUTO VAA KONDOM AFANYAPO MAPENZI.

Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed 'Shilole' amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa mahaba hayaleti ladha ndio maana alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake Nuh Mziwanda ili wasiwe wanatumia kondom.

STORI MPYA, PICHA NA VIDEO KALI. BOFYA HAPA!
Akizungumza na Mwandishi wetu, Shilole alisema kuwa raha ya mapenzi ni kila mmoja kuwa na mwenzake bila kuwa na kizuizi chenya kuondoa ladha hiyo na baada ya kupima kila mmoja ameapa kutochepuka ili asilite maambukizi ndani ya uhusiano wao....

    "Asikudanganye mtu, raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa, ikiwa na maganda inaondoa utamu ndio maaa mimi na mwenzangu tulilazimika kwenda kupima afya zetu na kila mmoja alibainika ni mzima hivyo tumeahidiana kutosalitiana ili tusileteane maambukizi"alisema Shilole.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

(+18)DENTI WA CHUO AVUJISHIWA PICHA ZA UTUPU, BAADA YA KUJISAHAU NA KUMPA JAMAA FLASH YENYE GROUP WORK.
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Thursday, August 28, 2014

KIMBEMBE CHA MADAKTARI, WANASWA WAKIMCHOROPOA MIMBA DENTI.

IMEBUMA kwao! Madaktari wawili, Hamis Chacha na Shengena wa zahanati moja iliyopo Yombo Buza jijini Dar wamejikuta katika wakati mgumu baada ya polisi kuwaibukia na kuwaweka chini ya ulinzi kwa madai ya  kufanya jaribio la kumchoropoa mimba msichana mmoja aliyedaiwa kuwa ni denti wa chuo f’lani cha digrii za juu, Dar.

Madaktari wawili, Hamis Chacha (kushoto) na Shengena wanaotuhumiwa kwa jaribio la utoaji mimba.

LICHA YA DIMPOZI KUTAJWA VANESSA NA JUX YADAIWA NI WAPENZI.

Tukio hilo la aina yake lilijiri Agostii 25, mwaka huu katika zahanati hiyo ambayo jina tunalihifadhi kwa sasa.Awali, Operesheni Fichua Maovu  ‘OFM’ ya Global Publishers  ikiwa katika pitapita zake ilinasa tukio hilo ambapo polisi walikuwa ndani ya zahanati hiyo wakiwaweka chini ya ulinzi madaktari hao.
OFM ilifanikiwa kuzama ndani ya zahanati hiyo na kuingia kwenye chumba cha kilichodaiwa hutumika katika zoezi hilo.

Vifaa vilivyokusudiwa kutumiwa na madakta hao katika zoezi la utoaji wa mimba.

Daktari Shengena alipoona kamera ya OFM alitaka kukimbia licha ya kuwepo kwa askari ndani ambapo walitumia nguvu za ziada kuwadhibiti vyema na kuingizwa ndani ya chumba alichokuwemo mwenzake ambaye naye alinaswa akiwa na vifaa vilivyodaiwa ni vya kuchomolea mimba akiwa amevificha kwenye mfuko wa rambo.

Madaktari wakiwa chini ya ulinzi wa makamanda wa OFM.

Baada ya maafande kuwaweka chini ya ulinzi, madaktari hao walizua kituko kufuatia kuzitupa chini shilingi 40,000 walizopewa na denti huyo kama malipo ya kazi hiyo wakidhani ni za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ‘Takukuru’.

Wakizungumza na waandishi wetu baada ya kuulizwa nini kilikuwa kikiendelea chumbani humo, Dokta Chacha alidai kuwa mgonjwa huyo ana tatizo kwenye kizazi hivyo alikuwa akitaka kusafishwa na si kutoa mimba maelezo yalikosolewa na denti huyo aliyedai kuwa alikwendwa kwa mapatano ya kumchoma mimba ili akaendelee na masomo chuoni.

Binti (denti) aliyekusudiwa kutolewa mimba.

Akijibu kuhusu kwa nini alivificha vifaa va kutolea mimba kwenye mfuko, Dokta Chacha alijiumauma na kusema denti huyo alifuata taratibu zote kama wagonjwa wengine, lakini alishindwa kuonesha risiti au cheti cha kumsajili mgonjwa huyo kwa ajili ya matibabu.

Kichekesho kingine kilikuwa wakati OFM na wanausalama wakitoka nje ya zahanati hiyo na watuhumiwa na kukuta kwenye maeneo mengine kukiwa kweupe na kusemekana kuwa, madaktari na manesi walioshuhudia wenzao wakitaitiwa walitoka nduki kwa kuogopa ushahidi.

Mwishowe watuhumiwa hao walifikishwa katika Kituo cha Kidogo cha Polisi Buza na kufunguliwa jalada lenye Kumbukumbu Na. BUZ/RB/32/2014 kabla ya baadaye kufikishwa Kituo cha Polisi Chang’ombe, Dar kwa ajili ya mahojiano ya kina kuhusiana na sakata hilo.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

KIGOGO AMTOROSHA MTOTO NA KUMLAWITI.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Tuesday, August 26, 2014

WANAWAKE FAHAMUNI MADHARA YA VIATU VIREFU NA JINSI YA KUEPUKA.

Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, sio Tanzania pekee bali dunia nzima.
Wataalamu wanaeleza kuwa viatu hivi huharibu pingili za uti wa mgongo na huvunjavunja mifupa ya visigino. Wanawake wenye maumbo ya kati, ambao si wanene wala wembamba wamekuwa wakipendelea viatu virefu. Kwa kiasi kikubwa wasichana wafupi, wamekuwa wakipendelea kuvaa viatu virefu ili angalau na wao waonekane warefu.

Ifaamike kuwa unapovaa viatu hivi uzito wa mwili uamia mbele ya mwili na kufanya nyonga isogee mbele na kumfanya mtu awe na kiuno kizuri na mgongo unaovutia hivyo kutegemea viatu hivi kwa muda uharibu umbo pale anapovaa viatu vya kawaida sambamba na Misuli ya visigino  kukakamaa na kumfanya mtu aonekane na mguu mzuri ufunga vidole vya miguu na kusababisha maumivu makali chini ya  mgongo na ulemavu wa vidole. Pia uweza kusababisha ugonjwa wa arthritisi kadiri umri unavyoongezeka na matatizo ya uzazi katika nyonga kutokana na kuelemewa na uzito asa kwenye jointi za magoti na nyonga.

ILI KUEPUKA MADHARA HAYA ZINGATIA YAFUATAYO
Fanya mazoezi ya kunyoosha miguu kabla ya kuvaa viatu hivi
Vaa viatu virefu kiasi maana kila urefu kwani madhara yake uongezeka kutokana na urefu wa viatu
Nunua viatu hivi wakati wa mchana mguu wako unakuwa umetanuka kidogo hivyo utaweza kupata size inayokufaa.
PICHA NA VIDEO ZA SHILOLE AKIWA MZIWANDA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA.

Usivae viatu virefu vilivyochongoka upande wa kidole gumba tu
Vaa viatu vyenye ngozi kwa ndani ili kuwezesha miguu kukaa vizuri.
Kuwa na pea nyingi za viatu ili kukuwezesha kubadilisha inapotokea madhara
Usivae sana wakati unatembea mwendo mrefu, wa haraka, na unatumia usafiri wa uma.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA


habari kamili :: read more...

MGONJWA AFA MIKONONI MWA DAKTARI FEKI.

 UKANJANJA! Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa Jibuli Mahende, mkazi  Kijiji cha Iyumbu, Sepuka na kumsababishia kifo chake, Uwazi linakupa mkasa huo kwa kina.

Bw.Prosper Samson anayedaiwa kuwa ni daktari feki, akiwa nyumbani kwake.

Habari zinadai kuwa, Jibuli alifariki dunia hivi karibuni baada ya kutibiwa na mtu huyo anayejiita daktari kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alizidishiwa dozi kwa kuongezewa chupa tisa za maji ya drip sanjari na vidonge sita ambavyo havikujulikana jina mara moja.

HISTORIA YA MAREHEMU
Kwa mujibu wa ndugu, marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua, kiuno na mgongo ambapo daktari huyo alimpa dawa hizo muda mfupi baadaye Jibuli alipoteza maisha akiwa kwenye duka la dawa, nyumbani kwa Prosper.

MGANGA MKUU WA WILAYA ASIMULIA
Akizungumza kwa niaba ya mganga mkuu wa Wilaya ya Ikungi, mmoja wa madaktari wa wilaya hiyo, Philip Kitundu alisema tukio hilo lilitokea juzikati saa nne asubuhi kwenye vyumba maalum vilivyotengwa na daktari huyo kwa ajili ya kutolea huduma mbalimbali za matibabu.

“Baada ya kupewa taarifa za kifo hicho na utete wake, kesho yake tulikwenda kukagua duka la dawa la mtu huyo,” alisema daktari huyo.

Kwa mujibu wa daktari huyo, walipofika dukani kwa Prosper anayejitangaza kuwa ni daktari wa magonjwa ya binadamu, walilikagua na kugundua kuwa hakuwa na leseni kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) inayomruhusu kufanya biashara hiyo na alikiri kuwa hakuwa na cheti  cha chuo chochote alichosomea udaktari.

Marehemu Jibuli Mahende, aliyepoteza maisha chini ya mikono ya daktari feki.

“Hata tulipopekuwa dukani kwake tulikuta dawa ambazo haziruhusiwi kabisa kwenye maduka ya dawa muhimu, tulikuta dawa na sindano na dawa za vidonda. Alikuwa anawafunga vidonda watu, analaza na anatoa huduma za kujifungua kwa akina mama,” alifafanua daktari huyo.

YADAIWA NI MTU WA TATU KUFA
Daktari huyo wa wilaya aliongeza kusema kwamba katika ukaguzi huo walikuta pia dawa zilizokwisha muda wake wa matumizi na kuwa tukio la Jibuli kupoteza maisha ni la tatu kwa watu waliopatiwa matibabu katika duka hilo, wawili walifia nje ya duka.

MTUHUMIWA ATOA MAELEZO
Kwa upande wake daktari huyo anayedaiwa ni feki, licha ya kukiri kumpokea mgonjwa huyo akiwa na hali mbaya na kwamba baada ya kuchukua historia yake aligundua alikuwa akisumbuliwa na kifua na kabla ya kupelekwa kwake alianza matibabu kwa waganga wa tiba asilia.

“Walikuja kwangu ili wapate ushauri lakini jinsi nilivyomwona mgonjwa nikawashauri wafanye mikakati apelekwe sehemu nyingine kwani niligundua ana matatizo tangu Juni, mwaka jana,” alisema Prosper.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Godfrey Kamwela akifafanua jambo.

MTOTO WA MAREHEMU NAYE ANENA
Naye mtoto wa marehemu Jibuli aitwaye Jilala alisema siku ya tukio asubuhi alikwenda kumsalimia baba yake na kumkuta akiwa hoi, ndipo alipoamua kumpeleka kwenye duka hilo la dawa ambapo baada ya uchunguzi wa ‘daktari’ huyo aliambiwa baba yake alisumbuliwa na kifua, mgongo na kiuno.

“Baada ya dokta kunifahamisha ugonjwa unaomsumbua baba, niliondoka kurudi nyumbani kutafuta fedha za kumuondoa pale dukani ili  kumpeleka Hospitali ya Mkoa wa Singida kwa matibabu zaidi,” alifafanua mtoto huyo.

Akaendelea: “Hata hivyo, kabla ya baba hajapoteza maisha alipokuwa dukani kwa dokta alipewa vidonge sita vya dawa ambazo sikufahamu zinatibu ugonjwa gani na ilipofika saa nne asubuhi alifariki dunia, nikamsusia na kuita watu kuja kuiona maiti ya baba.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Godfrey Kamwela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

DENTI AMUUA MWANAYE, NA KUMFICHA UVUNGUNI ILI ASIFUKUZWE SHULE DAMU ZAMUUMBUA.

MWANAFUNZI wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya,  Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga, kumtumbukiza kwenye mfuko wa rambo na kuutia ndani ya mfuko wa salfeti kisha kuuficha chini ya kitanda, Uwazi lina habari ya motomoto!

Vena Mtati akitahayari baada ya kutiwa mbaloni na polisi.

Tukio hilo la kikatili ambalo limewashangaza wengi, hasa ikizingatiwa kuwa mtuhumiwa huyo anajua sheria kwa sababu anajifunza uuguzi, lilijiri Agosti 21, mwaka huu ndani ya nyumba moja iliyopo Kijiweni, Kata ya Mvinjeni mjini hapa.

SHUHUDA
Kwa mujibu wa shuhuda ambaye anaishi jirani na nyumba inayodaiwa kufanyika mauaji hayo (jina lipo), wiki mbili zilizopita, mtuhumiwa huyo alifika kwenye nyumba hiyo akitokea chuoni akiwa na ujauzito.

“Wiki mbili zilizopita, Vena alifikia kwa rafiki yake anayeitwa Joyce ambaye alikuwa amepangisha katika hiyo nyumba. Vena alikuwa na mimba kubwa, baada ya siku tano tu akajifungua,” kilisema chanzo hicho.

Kikaongeza: “Siku ya tukio, Joyce yeye ambaye ni mwenyeji alitoka kwenda katika shughuli zake, akamuacha Vena akiwa chumbani. Nadhani ndipo aliposhikwa na uchungu, akajifugua mtoto wa kike.
“Ilikuwa asubuhi, sisi tukasikia kelele kutoka kwenye chumba hicho. Zile kelele zilikuwa si za kawaida! Ilikuwa kama vile kuna mtu anakabwa.

Akiwa chini ya ulinzi.

“Tuliposikiliza kwa makini, mara sauti ya redio ikaongezwa ili kufanya kelele hizo zisisikike kwa nje. Lakini kwa vile sisi majirani  tulijua kwamba ndani ya chumba kile kuna mjamzito na kelele alizopiga mtoto si za kawaida ndipo tulipomtafuta mwandishi wa habari (hizi),” kilisema chanzo hicho.

HATUA ZA HARAKA
Mwandishi wetu alipopatikana na kunyetishiwa kuhusu kuwepo kwa uwezekano wa mama ambaye ni nesi kumuua mtoto wake aliyejifungua, aliwasiliana na Polisi wa Dawati la Jinsia.

Polisi hao, awali walimtafuta mwenyeji wa mtuhumiwa huyo, yaani Joyce ambaye alikuwa kwenye  mihangaiko yake. Alipopatikana alipokonywa simu yake ya mkononi ili asiweze kuwasiliana na mtuhumiwa.

Aliulizwa kama ana mgeni nyumbani kwake, akakiri. Akaulizwa kama mgeni huyo amejifungua, akakataa ndipo wakamchukua kwenda naye nyumbani kwake kumfuata mtuhumiwa huyo.

ASKARI WAFIKA ENEO LA TUKIO
Paparazi wetu akiwa ameongozana na askari hao walifika kwenye chumba hicho na kumkuta Vena akiwa amesimama mlangoni.

Alipoulizwa kama amejifungua, awali alikataa katakata lakini baada ya  kubanwa na kutishiwa kuswekwa ndani, alikiri kujifungua na kusema kwamba mtoto huyo amemficha uvunguni mwa kitanda.

Denti (aliyeshika kiroba chenye mwili) akiwa chini ya ulinzi wa polisi (Kulia) ni mwenyeji wake, Joyce.

DAMU SAKAFUNI
Ndani ya chumba hicho, sakafuni kulikuwa na damu  zilizodaiwa kumtoka mtuhumiwa huyo wakati akijifungua mwenyewe!

POLISI WAPEKUA UVUNGUNI
Polisi walizama chumbani, wakainama kuchungulia chini ya kitanda. Walichoanza kukiona ni mfuko wa salfeti, wakauvuta  kuutoa. Walipofungua ndani, wakakuta mfuko wa rambo, wakaingiza mkono na kutoa kifurushi kikiwa kimeviringishwa nguo nyingi na ndiye mtoto huyo alimohifadhiwa.

JIONEE BAADHI TU YA MAMBO WAFANYIWAYO MABINTI WAENDAO COCO BEACH HAPA......

HEBU SOMA HII, INAUMA ZAIDI
Mbali na mwili wa mtoto huyo kuviringishwa nguo hizo, pia ulimwagiwa chumvi na vumbi la mkaa ambapo ilidaiwa mtuhumiwa alifanya hivyo ili mwili huo usitoe harufu utakapotupwa porini.

Majirani walisema maarifa hayo, mtuhumiwa aliyapata kwa sababu tayari anajua namna ya kuhifadhi mwili wa mwanadamu, kwa mwanamke asiye na ujuzi asingeweza kufanya hivyo.

Vena Mtati akiwa na kiroba hicho.

SABABU YA MTOTO KUUAWA
Kuna madai kwamba, mtuhumiwa huyo aliwaambia polisi kuwa alifikia uamuzi wa kumuua mtoto huyo kufuatia mwanaume aliyempa ujauzito aishiye jijini Dar es Salaam kumuahidi ndoa lakini akaingia mitini.

ORODHA YA WALIOKAMATWA
Baada ya polisi kusikiliza maelezo ya mtuhumiwa huyo, walimkamata yeye, mwenyeji wake Joyce na mmiliki wa nyumba hiyo ambaye jina halikupatikana mara moja.

Polisi walisema mmiliki wa nyumba hiyo alikamatwa kwa sababu alikiuka sheria za mji ambapo alitakiwa kutoa taarifa za kumpokea mgeni huyo kwenye serikali za mitaa lakini hakufanya hivyo huku Joyce akidaiwa kutambua kuwa mgeni wake alijifungua lakini akawaambia hakujifungua.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.








HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA 

PICHA ZA BINTI ALIYELIWA KA.....BANG BAADA YA KUKOLEZESHWA POMBE.
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

MTOTO BONGE KUPELEKWA INDIA.

HATIMAYE Mtoto Grace Simon (14) (pichani) ambaye ameacha shule kutokana na tatizo la unene wa kupindukia, sasa atapelekwa India kwa ajili ya matibabu kwa gharama za serikali.

Mtoto Grace Simon (14) ambaye ameacha shule kutokana na tatizo la unene wa kupindukia.

Mama mzazi wa Grace, Ashura Bakari alimwambia mwandishi wetu kuwa baada ya gazeti hili kuandika habari za mwanaye mara kwa mara, serikali imesikia kilio cha Grace ambaye ni mwanafunzi katika Shule ya Msingi Amani Ukonga, Ilala, jijini Dar es Salaam.

“Sehemu kubwa ya maagizo  niliyopewa na wizara ya afya nimetekeleza ikiwa ni pamoja na kukamilisha viza na niliambiwa niende Jumanne (leo) kupata maelekezo zaidi,” alisema mama huyo.

Mama huyo alisema wasomaji wengi wa gazeti hili walimsaidia mtoto wake kwa hali na mali na amewashukuru kwa kuonesha huruma kwa mwanaye.

Mtoto Grace akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Mmoja wa maofisa kutoka wizara ya afya ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini, aliliambia gazeti hili kuwa tatizo kubwa la Grace ni homoni hazina uiano ndiyo maana zinasababisha moyo kujaa mafuta na uzito kuongezeka na kupungua kidogo bila utaratibu.

Afisa huyo alithibitisha serikali kumgharamia safari ya India mtoto huyo.
Mtoto huyo wakati anafanyiwa mahojiano na gazeti hili Januari mwaka huu, alikuwa na uzito wa kilo 111 hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Kwa wanaotaka kumpa pole mama wa mtoto huyo, Ashura Bakari wanaweza kuwasiliana naye kwa namba 0753 530 255 au 0719 465 443.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Monday, August 25, 2014

JOHARI ATOA SOMO LA UZAZI.

Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.
SOMO! Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa somo kwa baadhi ya wasanii wa kike ambao wamekuwa wakijibweteka na kushindwa kudumisha upendo kwa wapenzi wao baada ya kujifungua.

Akipiga stori na paparazi wetu, Johari alisema miongoni mwa vitu ambavyo huwashushia upendo wanawake wengi ni uchafu baada ya kuzaa na kujikita na malezi kuliko kuwathamini wapenzi wao ndiyo maana ameamua kutoa filamu ya Mke Mchafu inayowagusa mabinti.

“Ujue kuna watu wanavunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe kutokana na mambo kama haya na wapo hata wasanii ambao wanafanya haya mambo, yaani mtu unaingia kwenye nyumba hutamani hata kuomba maji ya kunywa, nafikiri watabadilika kupitia filamu yangu itakayotoka soon,” alisema Johari.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

MAINDA: NIMEFANYA SANA YALE MAMBO, SASA BASI!

habari kamili :: read more...

Monday, August 18, 2014

CHEKI HAPA VIDEO YA BILL GATES ALIVYOMWAGIWA NDOO YA MAJI BARIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA ALS.

Mark Zuckerberg laid down the challenge, and Bill Gates has answered: he's taken a bucket of ice water over the head in the name of charity. Gates is the latest major name in the tech industry to join the quickly growing roster of people who have completed the Ice Bucket Challenge, which involves daring someone to either get soaked or donate money to a charity focused on Lou Gehrig's Disease — or more likely, do both.Gates' video is easily the most impressive that we've seen, showing him accepting the challenge and building a rig to soak himself. There are also some fun touches to it, from Gates' obvious use of a Surface to the blueprints he's making using Comic Sans.

Gates also chooses some fun names to pass the challenge on to — out of all of them, we're most looking forward to seeing whether Elon Musk answers the call.

Obama’s 16 Year Old Daughter Malia Is Almost Taller Than Him;Ona Mapicha yake hapa.

WATCH THE VIDEO BELOW!




HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

US sent Ebola drug enough to cure just 3 people to Liberia.

habari kamili :: read more...

Saturday, August 16, 2014

ELIMU YA BURE JUU YA CHANZO,DALILI NA TAHADHARI ZA KUCHUKUA DHIDI YA EBOLA.

Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalamu “Ebola Virus”,  ugonjwa wa damu kutoganda.

Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za Virusi zinaazosababisha kutokwa na Damu mwilini,(Viral Haemorrhagic Fevers) .

Chanzo kamili cha virusi vya ugonjwa huu hakijulikani. Katika orodha ya watu 10 waliopata kirusi cha Ebola, basi wastani kati ya watano au tisa hufa.

Hali inayosababisha mlipuko wake pia haijulikani.Ugonjwa huu pia hauna tiba wala chanjo.Hata dawa za jadi hazijathibitika kutibu ugonjwa huu.

Dalili za Ebola
Dalili za ugonjwa huu ni:-
-Homa kali  inayoambatana na kutokwa damu katika matundu yote ya mwili kama pua, njia ya haja kubwa na dogo, mdomoni, masikioni, machoni n.k.
· Kutapika damu
· Kuharisha damu
· Fizi kuvuja damu
· Kutokwa na damu na kuvujia chini ya ngozi. Kwasababu ya kutokwa na damu sehemu za haja kubwa na ndogo, choo na mkojo pia vitaonekanakuwa na damu.

Kuenea kwa Ebola.
Ugonjwa huu unaenea kwa urahisi sana na haraka kutoka mtu mmoja hadi mtu mwingine kupita njia mbali mbali.

Njia hizi ni:-
· Kuingia mwilini au kugusana
· Mate
· Damu
· Mkojo
· Machozi
· Kamasi
-Majimaji mengine ya mwili, ikiwa ni pamoja na jasho.
-Kugusa mtu aliyekufa kwa ugojnwa wa Ebola kushika/kugusana na wanyama jamii ya nyani. ·
-Kuchomwa na sindano au vifaa ambavyo havikutakaswa
-Kujamiiana
-Kugusa taka ngumu au maji taka yaliyotokana na kumhudumia mgonjwa Ebola.


Tiba ya Ebola
Hakuna tiba maalumu ya homa ya Ebola. Lakini ikiwa watu  wanapata huduma bora kutoka kwa madaktari na wauguzi, wengi wao huishi.

Kinga ya Ebola
Ugonjwa wa Ebola unaweza kuzuilika.Ni muhimu kwa kila mmoja kuwajibika .Njia kuu za kujikinga na ugonjwa huu:-

-Kuepuka kugusa au kuingiwa na mate, damu, mkojo, jasho, kinyesi, machozi na maji maji mengine yanayotoka mwilini mwa mtu mwenye dalili za ugonjwa wa Ebola.

-Kwa kuwa ugonjwa huu pia huambukizwa kwa njia ya kujamiiana, epuka kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.

-Kutoa taarifa mapema kwa viongozi wa serikali na wa huduma za Afya katika ngazi zote pale anapotokea mtu mwenye dalili za Ebola .

-Kwahi katika vituo vya huduma za Afya pale mtu anapoona dalili za ugonjwa huu.

-Wananchi wana tahadharishwa kuepuka kushughulikia maiti ya mtu aliyekufa kwa Ebola;badala yake watoe taarifa kwa uongozi wa kituo cha huduma za Afya kwa ushauri.

-Zingatia usafi wa mwili na tabia.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Thursday, August 14, 2014

MGONJWA AZUA KIZAAZAA SHINYANGA BAADA YA KUONEKANA NA DALILI KAMA ZA EBOLA.


Wakazi wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

Taarifa za kuwepo kwa mgonjwa huyo, zilidai kuwa mgonjwa huyo alitoka katika moja ya mitaa ya Manispaa ya Shinyanga na alikuwa akitokwa damu puani na mdomoni kabla ya kuzimia.

Akizungumzia hali hiyo jana, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Ntuli Kapologwe alisema mgonjwa huyo ambaye alikuwa akitokwa damu mdomoni na puani, alifika hospitalini hapo juzi na baada ya kufika wauguzi na madaktari walitaharuki.

Kwa mujibu wa Dk Kapologwe, mgonjwa huyo alipelekwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), huku baadhi ya wauguzi na madaktari wakimkimbia hali iliyotia hofu kwa baadhi ya wahudumu na hata wagonjwa hospitalini hapo.

Hata hivyo, Dk Kapologwe alisema baada ya uchunguzi wa awali, ilibainika kuwa mgonjwa huyo ana matatizo ya kutokwa damu mara kwa mara na hajaambukizwa virusi hao wa ebola.

Wanaume walala vichakani kwa hofu ya kutahiriwa kwa nguvu Kenya.

Akielezea namna mkoa ulivyojiandaa kukabiliana na ugonjwa huo uliokwishaua zaidi ya watu 1,000 katika nchi za Afrika Magharibi, Dk Kapologwe alisema waganga wakuu katika halmashauri zote sita za wilaya mkoani Shinyanga, wameshajiandaa.

Alisema wamekubaliana atakapogundulika mtu mwenye dalili za ugonjwa huo, taarifa itolewe mara moja katika ngazi ya mkoa, ambako kuna timu maalumu ya wataalamu iliyoandaliwa kushughulika na ugonjwa huo hatari.

Baada ya taarifa kutolewa kwa mujibu wa Dk Kapologwe, timu hiyo itathibitisha kama mgojwa ana dalili zote za ebola na taarifa kutolewa kwa umma.

Wakati ugonjwa huo ukisababisha kiwewe mkoani Shinyanga, mkoani Kagera, Mkuu wa Mkoa, Fabian Massawe ameshauri wakazi wa mkoa huo kuwa macho na tayari kutoa taarifa kwenye vituo vya afya vilivyo jirani waonapo mtu mwenye dalili za ugonjwa huo.

Alitoa mwito huo kupitia kwa waandishi wa habari aliozungumza nao jana ofisini kwake mjini hapa, baada ya kuibuka taarifa kuwa Rwanda kulikuwa na mtu anayehisiwa kuwa na ebola.Hata hivyo, Waziri wa Afya wa Rwanda, Agnes Binagwaho alisema juzi kuwa mwanafunzi mmoja wa Ujerumani aliyefika nchini humo akitokea Liberia, alihisiwa kuwa na ugonjwa huo lakini baada ya sampuli ya damu yake kupimwa katika maabara za kimataifa, hakukutwa na ugonjwa huo.Massawe alisema Mkoa wa Kagera unapakana na nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na pia upo mwingiliano wa watu na shughuli mbalimbali za kijamii.

Alisema nchi jirani zikipata mlipuko wa ugonjwa huo, upo uwezekano wa kuvuka mipaka na kuingia mkoani Kagera, hivyo ni wajibu wa kila mmoja kutoa taarifa akiona mtu anayedhaniwa kuwa na ugonjwa huo.

Dalili za ugonjwa huo unaoenezwa na virusi vya ebola ni pamoja na kutokwa na damu sehemu mbali mbali za mwili, kuumwa na kichwa, mwili kuishiwa nguvu, maumivu ya misuli na hatimaye kifo.

Ugonjwa huo unaambukizwa kwa kugusa damu na majimaji ya mgonjwa pamoja na kugusa vifaa au nguo za mgonjwa.
Massawe alisema Kagera wamechukua hatua kwa kuweka mikakati kuhakikisha mlipuko wa ugonjwa hauingii nchini kupitia mipakani.

PICHA ZA KIBONDE NA GARDNER WAKIPANDISHWA KIZIMBANI JANA.

Miongoni mwa halmashauri ambazo zimeelekezwa kuchukua hadhari kutokana na kuwa mpakani mwa nchi, ni wilaya ya Bukoba, Missenyi, Karagwe, Kyerwa na Ngara.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

MATEJA WAMLEWESHA TEJA MWENZAO WA KIKE KISHA KUMLA TIGO. PICHA ZA TUKIO HAPA.

habari kamili :: read more...

Tuesday, August 12, 2014

MDADA HUYU ATOA USHAURI WA MAMBO 10 MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA MAHUSIANO.

Ifuatavyo ni njia ya kisaikolojia ambayo mwanamke anaweza kutumia kumpata mwanaume mwenye kumfaa bila kufanya naye mapenzi tena ni jibu sahihi la kuondokana na mchezo wa kubahatisha kwa wanaume wanaosaka wapenzi wa kweli na si taksi bubu ambazo mchana huweka namba za njano usiku nyeusi.

KWANZA- Ni ya mwanamke/mwanaume mwenyewe kujifahamu na kufahamu vigezo vya mpenzi anayemhitaji katika maisha yake. Ifahamike kuwa kila mwanaume ana wake na kila mwanamke anaye wake wa maisha pia. Hivyo asiyekufaa wewe anawafaa wengine, kinachotakiwa ni wewe kujitambua kwanza ili umtambue umtakaye.

Wanawake/wanaume wengi hawafahamu wanahitaji wapenzi wa aina gani, hivyo wanajikuta kama watu wanaoingia sokoni bila kujua wanataka kununua nini? Ndiyo maana wengi wameangukia kwa matapeli wa mapenzi, wakachezewe na kuumizwa moyo bure.

PILI- Ni kuketi chini na kuorodhesha vigezo stahili vya mwanaume/mwanamke unayemtaka. Baada ya hapo orodhesha tena kasoro za mwanaume/mwanamke unazoweza kuzivumilia na zile ambazo huwezi kuzivumilia kabisa. Hii inatokana na ukweli kwamba mwanadamu hajakamilika, ana upungufu wake.

PICHA ZA BINTI MREMBO AMBAYE NI MTOTO WA RAIS KAGAME HIZI HAPA;


TATU- Anza kumsaka kwa kutumia milango ya fahamu. Cha kufanya hapa ni kuruhusu macho yawaone wanaume/wanawake na kuwatathmini kwa maumbile yao ya nje na kisha kupata majibu kutoka moyoni juu ya kuvutia kwao ambako hutambulika kwa moyo kurithika na mwili kusisimka.

NNE - Kuanzisha safari ya kuchunguza tabia za nje na za ndani kivitendo. Hapa suala la ukaribu baina ya mwanaume na mwanamke linahitajika. Msingi unaotajwa hapa ni kujenga mazoea ya kawaida yasiyokuwa na masuala ya kimapenzi na ngono. Kutambuana, dini, viwango vya elimu, kabila na makundi ya marafiki ni mambo ya kuzingatia.

Katika uchunguzi huu mwanamke/mwanaume anayetafuta mpenzi hana budi kupitia na kumlinganisha huyo aliyempata na vigezo alivyojiwekea. Zoezi hili liendane na kuweka alama ya pata kila anapobaini kuwa mwanaume/mwanamke anayemchunguza amepata moja ya vigezo vyake. Lakini pia aweke alama ya kosa kwa kila kasoro anayoivumilia na ile asiyoivumilia.

TANO - Ajipe muda wa kutosha kati ya miezi sita na mwaka kumchunguza huyo mwanaume, kisha aketi chini na aanze kujumlisha alama za vigezo alivyovijiwekea na jinsi mwanaume huyo alivyopata au kukosa.

Ikibainika mwanaume aliyechaguliwa amepata zaidi ya nusu ya alama ya vigezo vilivyowekwa, basi ujue kuwa anafaa. Kuhusu alama chache alizikosa anaweza kusaidia kuzikamilisha polepole wakati wa maisha ya ndoa.

Lakini angalizo kubwa kabisa ni kwamba mwanaume/mwanamke akionekana kuanguka katika kasoro zisizoweza kuvumilia kwa zaidi ya alama tatu. Yaani kwa mfano ni mlevi, mwizi, muongo, mbishi na katika hizo kashindwa 3, huyu hafai, ni vema akawekwa kando kwani huwezi kubeba kero 3 kwa pamoja katika maisha.
SITA - Kusajili mapenzi yenye malengo yanayotekelezeka. Lazima baada ya kuchunguzana kwa kina wapenzi watengeneze muongozo wa mapenzi yao. Wasiwe kama wanyama, lazima mipango ya wapi wametoka walipo na wanapokwenda.

Hata hivyo watalaam wanasema lazima wapenzi wapime umakini wao kwa vitendo. Kama wamekubaliana kuoana, suala la mume kwenda kujitambulisha kwa wakwe na hatua ya kuiendea ndoa ionekane. Usiri usiwepo tena. Kila mmoja amuone mwenzake kama sehemu ya maisha yake na mara zote wasaidiane kwa ukaribu.

SABA - Ni vema ndugu wakashirikishwa ili kuwapa nafasi na wao ya kuamua kama mapenzi hayo ni budi yakaendelea au yakasitishwa. Ni ukweli ulio wazi kwamba licha ya wengi kupuuza maamuzi ya ndugu kwa madai ya kuwa hawana nafasi kwa wapenda nao, lakini uchunguzi unaonesha kuwa wapenzi wengi huacha kutokana na sumu za ndugu hasa pale wanapokuwa wameonesha kutounga mkono uhusiano wa wanaotaka kuoana

NANE - Hatua hii ni ya kuweza kuzungumzia ufanyaji mapenzi, hapa nina maana kama wapenzi wamejizuia kwa muda mrefu na wanahisi kuchoka wanaweza kujadiliana kuhusu hilo na kuamua ufanyaji huo wa mapenzi una lengo gani, kama ni kuburudisha miili basi suala la afya na uzazi salama litazamwe.

TISA - Kutimizwa kwa ahadi ya kuoana ni hatua ya tisa ambayo nayo si busara ikachukua muda mwingi kutekelezeka, kwani ucheleweshaji mwingi wa ndoa nao huvunja moyo na mara nyingine umewafanya wengi kutoaminiana.

KUMI - Kuamua kuwa mwili mmoja kwa kuvumilia na kuwa tayari kukabiliana na changamoto zote za maisha ukiwemo mkwamo na dhiki ambazo huchangia sana ndoa nyingi kuvunjika. Hapa pia ni wajibu wa wanandoa kuchukuliana udhaifu na kusaidia, kuwa tayari kujifunza na kujali zaidi upendo kuliko hisia za mwili ambazo wakati mwingine hudanganya na hivyo kumfanya mwanandoa asivutiwe na mwenzake.

PICHA NA VIDEO ZA SHILOLE AKIWA MZIWANDA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA.

Mwisho ni kwamba kanuni hizi huwafaa watu wazima mapenzi ya kitoto hayawezi kujenga misingi hii imara mara nyingi ni kudanganyana, kuharibiana maisha, kupeana mimba na maradhi.


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

ANGALIA PICHA ZAIDI DIAMOND PLATINUMZ NA MADANSA WAKE WAKIFANYA KUFURU JIJINI MWANZA.

habari kamili :: read more...

PADRI WA HISPANIA AFARIKI DUNIA KWA EBOLA.

Padri Miguel enzi za uhai wake.

PADRI raia wa Hispania, Miguel Pajares, 75, aliyeambukizwa virusi vya Ebola wakati akifanya kazi Afrika Magharibi amefariki dunia akiwa hospitalini mjini Madrid.

Padri Miguel alikuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Mtakatifu Joseph iliyopo mjini Monrovia, Liberia.

Alisafirishwa kwenda Hispania kutoka Liberia wiki iliyopita akiwa na mtawa mmoja ambaye naye aliponea chupuchupu kuambukizwa homa hiyo.

Zaidi ya watu 1,000 wamefariki kutokana na homa ya Ebola nchini Liberia, Guinea, Sierra Leone na Nigeria tangu kulipuka kwa homa hiyo mwezi Februari.


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

habari kamili :: read more...

Monday, August 11, 2014

Wanaume walala vichakani kwa hofu ya kutahiriwa kwa nguvu Kenya.

Nchini Kenya ambapo wanaume kutoka kabila la Turkana na makabila mengine ambayo hayana utamaduni wa kutahiri wanaume sasa wanaishi kwa hofu baada ya baadhi yao kutahiriwa kwa lazima.

Vijana kutoka kabila la Bukusu wamekuwa wakiwavamia wanaume ambao hawajatahiriwa katika mji wa Moi's Bridge na kuwapaka matope na maji taka na kisha kuwatahiri hadharani kando ya barabara .


Wabukusu huchukulia mtu asiyetahiriwa kuwa mchafu na mwoga, lakini wanaume wanaotahiriwa bila ridhaa yao wanalalamika kuwa wanatwikwa utamaduni usio wao.

Odeo Sirari ambaye yupo katika mji huo wa Moi's Bridge amekutana na vijana hao na kutuandalia taarifa ifuatayo.
KUWASIKILIZA WaKIELEZA MAHASIBU YANAYOWASIBU BONYEZA HAPA

SOURCE:BBC/SWAHILI


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

habari kamili :: read more...
 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top