Monday, August 11, 2014

Wanaume walala vichakani kwa hofu ya kutahiriwa kwa nguvu Kenya.

Nchini Kenya ambapo wanaume kutoka kabila la Turkana na makabila mengine ambayo hayana utamaduni wa kutahiri wanaume sasa wanaishi kwa hofu baada ya baadhi yao kutahiriwa kwa lazima.

Vijana kutoka kabila la Bukusu wamekuwa wakiwavamia wanaume ambao hawajatahiriwa katika mji wa Moi's Bridge na kuwapaka matope na maji taka na kisha kuwatahiri hadharani kando ya barabara .


Wabukusu huchukulia mtu asiyetahiriwa kuwa mchafu na mwoga, lakini wanaume wanaotahiriwa bila ridhaa yao wanalalamika kuwa wanatwikwa utamaduni usio wao.

Odeo Sirari ambaye yupo katika mji huo wa Moi's Bridge amekutana na vijana hao na kutuandalia taarifa ifuatayo.
KUWASIKILIZA WaKIELEZA MAHASIBU YANAYOWASIBU BONYEZA HAPA

SOURCE:BBC/SWAHILI


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top