Joseph Jones akifanyiwa operesheni ya kupandikizwa vinyweleo vya
nyusi na ndevu huko Miami. Kulia ni Dk. Jeffrey Epstein na msaidizi
wake Jose Armas (kushoto).
KIJANA Joseph Jones raia wa Youngstown nchini Marekani ameoteshwa ndevu pamoja na nyusi ikiwa ni baada ya miaka 10 tangu alipojeruhiwa kwa kulipukiwa na bomu barabarani nchini Iraq.
Dk. Jeffrey Epstein akimwekea Joseph Jones alama za wapi atakapootesha ndevu.

Joseph aliyepoteza vinyweleo vya usoni mwaka 2004 baada ya kujeruhiwa na bomu hilo alifanyiwa operesheni ya masaa nane ambapo alipandikizwa vinyweleo zaidi ya 3,000 kwa ajili ya kuotesha ndevu zake na nyusi.

Joseph baada ya kupandikizwa ndevu na nyusi.
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment