Jambo la kwanza lililo la msingi ni kufahamu anachokipeanda yule unayetaka kuanza kumfuatilia.Je ni mwenye kupenda hali gani,yuko makini au hayuko makini
Furaha ya wanawake wengi ni kuwa na mwanaume ambaye anajiamini.
HATUA ZA KUZINGATIA:
a) Mguse bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha,mwambie du umependeza;kama uko kwenye mazingira ambayo yanawezekana,Inashauriwa kumgusa kama unataka kuuliza jambo fulani,Hili ni jambo la msingi kwani kitaalamu linachangia kumjua mtu tabia yake na anavyoweza kukuchukulia katika mambo mengine unayotaka kuyasema.
PICHA YA LULU INSTAGRAM IMEWAACHA MIDOMO WAZI WANAWAKE WANAOSHINDWA KUTUMIA UBUFU KAMA WAKE WA KUINGIZA MKWANJA.
c) Kama mnaweza kupata muda,mkaribishe sehemu kwa ajili ya kuongea zaidi.Mara nyingi usianzishe mazungumzo ya kumwambia mtu nataka kuoa,hata kabla hamjakaa na kusomana hata kama kwa sekunde kadhaa.Ni aibu kuambiwa sikutaki au nina mwingine,lakini ukianza kwa vitendo,unaweza kujua kama hapa kuna dalili au kuachana na kile unachotaka kukisema.
Hata katika maisha ni vizuri kuwa mwangalifu kabla ya kuamua kumtongoza fulani na kukubaliana na fulani,pata muda wa kumchunguza kwani safari ya ndoa ni ndefu,inahitaji kuwa na mtuambaye kweli anafaa.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment