Wednesday, November 12, 2014

Suspected bomber dies in Niger college.

A suspected female suicide bomber on Wednesday detonated a bomb hidden in her body at the entrance of a library at the Federal College of Education, Kontagora, at 12.30pm.

The suspected bomber was burnt beyond recognition, while a student was seriously wounded.

sponsored post

The Provost of the college, Dr. Nathaniel Odediran, confirmed the incident.

The scene of the incident has been cordoned off by the military.

Wema Sepetu Releases Picha kali sana Baada ya kuzinguana na Jamaa, Zicheki Hapa kweli Kaumbika


UNAAMBIWA KWA SASA DIAMOND NA ZARI WAPO KWENYE MAHABA MAZITO.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Miss Tanzania aikimbia Bongo, Bado haijulikani kajichimbia nchi gani…

WAKATI suala la kudaiwa kudanganya umri likiwa bado ‘bichii’, taarifa zinadai kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ametoweka na hajulikani alipo, Shughuli ya kumsaka mrembo huyo ili kujua undani wa sakata lake ilianzia Temeke ambako ilielezwa kuwa ndiko anakoishi.

Mapaparazi wetu walipofika katika nyumba waliyoelekezwa, walikuta imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Vikoba ambapo mmoja wa wahudumu wa ofisi hiyo kwa sharti la kutoanika jina lake gazetini, aliwataka waandishi wetu kwenda Mbezi-Makonde akidai ndiko anakoishi kwa sasa.

“Hapa ilikuwa nyumba ya zamani lakini kwa sasa ni ofisi na Sitti hakai hapa, kama mnamtaka nendeni Mbezi-Makonde huko nasikia ndiko anakoishi,” alisema mtumishi huyo.

Unaweza soma : Bongo movie nadhani wana cha kujifunza hapa, ila ni kama tu wataacha tamaa ya pesa.

Mapaparazi wetu hawakuchoka, walifunga safari hadi Mbezi-Makonde ambapo walikuta nyumba yenye maduka yaliyoandikwa Mtemvu Foundation, wakaenda moja kwa moja katika saluni mojawapo iliyokuwa na bango lililosomeka Malisa huku likiwa na picha ya Sitti sambamba na namba za simu.

Dada mmoja aliyeonekana kufanana na Sitti alizidi kutibua hali ya hewa baada ya kusema Sitti amesafiri nje ya nchi pasipo kufafanua nchi gani.“Sitti amesafiri nje ya nchi, ila kama mnamtaka nafikiri nitawapa namba zake akirudi kati ya Jumatatu au Jumatano ya wiki ijayo (wiki hii),” alisema dada huyo pasipo kutaja jina lake.

Mmoja wa majirani wa mrembo huyo alihoji inawezekanaje mrembo huyo akasafiri nje ya nchi wakati suala lake la umri halijapata ufumbuzi?“Mh! Ataondokaje wakati bado ana majanga ya umri?” alihoji jirani huyo. Aidha, mapaparazi wetu hawakutaka kuishia hapo, Jumapili iliyopita walitia timu Buza Kipera katika Kanisa la The Revelation Church la Nabii Yaspi Bendera ambalo ilielezwa kuwa Sitti anaabudu, ili kujiridhisha kama yupo, lakini pia hakuonekana huku waumini wakidai hawajamuona kwa siku za karibuni. Hatumuoni siku hizi, ila alikuwa anakuja katika ibada ya peke yake kwa nabii saa kumi lakini siku za karibuni hatumuoni,” alisema muumini mmoja.Katika ibada inayoendeshwa kanisani hapo ambayo mapaparazi wetu walizama ‘kiintelijensia’, Nabii Yaspi alisikika akimkingia kifua Sitti kuwa alistahili ushindi na kumtabiria kufika mbali na hata kuwa Miss World huku akiwaonya wanaomfuatilia mrembo huyo.

Unaweza Soma : Basi hizi ndo picha za Rihana zinazomake headline kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii, ni kwa wale walio na miaka 18+

“Mara ya kwanza nilimtabiria Sitti kushinda u-miss Tanzania na kweli akashinda, sasa wanatokea watu wakidai mara ana hipsi kubwa, ooh kadanganya umri, huu wote ni upepo tu na utapita.“Kama Sitti hatakengeuka kwenye imani yake atafika mbali zaidi na kushinda hata Miss World. Wale wote watakaoendelea kumfuatilia wataparalaizi,” alisema Nabii Yaspi.

Hadi mwishoni mwa wiki iliyopita, Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), walisema bado wanalifanyia uchunguzi suala la Ritta kudaiwa kufoji cheti cha kuzaliwa kutokana na baadhi ya nyaraka zake kuonesha amezaliwa mwaka 1989 huku yeye akidai amezaliwa 1991.

Unaweza soma ; Baada ya ukimya mrefuuuuu sasa Ray C aamua kurudi katika game, afungukaka kwa mashabiki wake. Soma hapa…

Wakati RITA na BASATA wakiwa hawajatoa tamko lolote kufuatia uchunguzi waliodai wataufanya, gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara ili azungumzie sakata hilo.

“Waziri ni mtu mkubwa sana kuzungumzia suala kama hilo, watafute wasaidizi wangu pale wizarani watakuambia kinachoendelea. Naweza kutoa tamko halafu nikaonekana mtu wa ajabu, kumbe watu wanaendelea kulifanyia kazi, nenda kamuone Mkurugenzi wa Utamaduni atakusaidia,” alisema Waziri huyo alipozungumza nasi kwa njia ya simu.

Unaweza soma : Alichokisema Queen Darleen kuhusu Siku yake ya kuzaliwa na kwa nini kakataa zawadi ya gari kutoka kwa Diamond..
SOURCE:GLOBAL

Wema Sepetu Releases Picha kali sana Baada ya kuzinguana na Jamaa, Zicheki Hapa kweli Kaumbika


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

MKUDE ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI SIMBA SC.

 Kiungo wa timu ya Simba SC, Jonas Gerald Mkude (katikati) akisani mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto)

Jonas Gerald Mkude (katikati) akiweka saini ya dole gumba katika mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto).

KIUNGO wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Simba SC na kusema bado nipo sana Msimbazi.

Akizungumza baada ya kusaini mkataba huo mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa Silver Pippe, Kawe, Dar es Salaam Mkude amesema kwamba amesaini klabu hiyo baada ya kufikia kiwango cha fedha alichotaka.

Mkude mwenyewe hakusema ni kiasi gani amepewa, lakini habari ambazo mtandao huu mezipata zinasema kiungo huyo amepewa Sh. Milioni 60, ingawa mwenyewe alianzia Milioni 80.

Wema Sepetu Releases Picha kali sana Baada ya kuzinguana na Jamaa, Zicheki Hapa kweli Kaumbika



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

PICHA ZINATISHA; KIBAKA ACHOMWA MOTO BAADA YA KUBAMBWA AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA.



Kibaka baada ya kuchomwa moto.

Wananchi wakishuhudia kibaka akichomwa moto.

KIJANA mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto wakati akiwaibia abiria walipata ajali na basi la Wibonela leo asubuhi maeneo ya kona ya Phantom, Kahama.

Kibaka huyo ameuawa na watu wenye hasira kali waliofika eneo la ajali kutoa msaada kwa abiria.

Wema Sepetu Releases New Hot Photos With Strong Captions Baada ya kuzinguana na Jamaa.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Wema Sepetu Releases Picha kali sana Baada ya kuzinguana na Jamaa, Zicheki Hapa kweli Kaumbika

 
    If u dont feel urself, then hu do u expect to feel u...?




  Life is too beautiful to be stressed ey... YOLO....

Picha kali za Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani hizi hapa.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Nuhu Mziwanda ajitetea kuhusu kipigo anachopewa na Shilole, Eti cha mahaba…

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa  watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema Shilole.

Picha kali za Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani hizi hapa.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Picha za Rais Uhuru Kenyata wa Kenya akiwa amepanda Daladala kutoka ofisini kwenda mjini, Hizi hapa.

 Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambay ni mara chache sana kumuona rais akifanya. Mfano ni kama lile tukio la kutoka ikulu akiwa hana bila ya walinzi, kucheza mziki katika matamasha mbalimbali na lile la kusimamisha msafara wake kisa tu anunue karanga.

Jipya alilolifanya siku ya jana ni pale alipoamua kutumia usafiri wa Matatu au kwetu tunaita Daladala kwenda mjini. Inasemekana Rais Kenyata ndio rais wa kwanza ktumia usafiri huo akiwa madarakani, marais wote waliopita hawajawahi kuutumia wakiwa madarakani. Kikubwa kingine alichosema na kimeungwa mkono na vijana wengi ni kuruhusu Daladala kuchorwa Graffit jambo ambalo limekua likizuiliwa na uongozi nchini humo kwa mda sasa. Rais Kenyata alisema ” To be frank why are we interfering with graffiti on Matatu? Let us promote our young people – Uhuru Kenyatta ”

Unaweza tazama picha za tukio hilo hapa chini


MKE ANAYEISHI NA WAUME WAWILI MAPYA YAIBUKA; VIPIMO VYA DNA KUMALIZA UTATA WA NANI BABA WA MTOTO.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Breaking News; WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA.


Basi la Wibonela wakati likitolewa eneo la tukio.

Wananchi wakishuhudia basi la Wibonela lililopinduka leo asubuhi huko Kahama.

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka.

Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado haijafahamika.

Baadhi ya miili tayari imetolewa katika eneo la ajali huku majeruhi nao wakikimbizwa kwenye Hospitali ya Wilaya Kahama kwa matibabu.

MKE ANAYEISHI NA WAUME WAWILI MAPYA YAIBUKA; VIPIMO VYA DNA KUMALIZA UTATA WA NANI BABA WA MTOTO.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

UNAAMBIWA KWA SASA DIAMOND NA ZARI WAPO KWENYE MAHABA MAZITO.


Siku chache baada ya kumwagwa na Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amenaswa kwenye mahaba mazito na msanii, mtangazaji, mjasiriamali, tajiri na mrembo mkali kuliko wote Afrika Mashariki,  Zarinah Hassan a.k.a Zari au Boss Lady.

Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimhagi msanii mrembo mkali kuliko wote Afrika Mashariki,  Zarinah Hassan a.k.a Zari au Boss Lady.

HABARI YA TAUNI
Habari ya ‘mujini’ ilidai kwamba, mahaba ya wawili hao yalianzia safarini walipokutana kwenye ndege moja wiki iliyopita ambapo Diamond alikuwa akitokea nchini Nigeria kupitia Afrika Kusini kisha Dar huku Zari akitokea Afrika Kusini kuelekea Dar kibiashara.

Kwa mujibu wa chanzo makini, mastaa hao walipokutana kwenye ndege waliungana na kupiga picha za pamoja kisha safari yao ya mahaba niue ikaanzia hapo.

UWANJA WA NDEGE   
Chanzo hicho kilimwaga ‘ubuyu’ kwamba, wawili hao walipotua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Diamond alionekana akiwa ‘veri klozi’ na Zari kiasi cha kuibua minong’oni uwanjani hapo kwa namna walivyoonekana wamependezeana.

Diamond Platnumz akipozi na mrembo Zari kimahaba.

KWENYE GARI LA DIAMOND
Ilisemekana walipofika nje walikwenda moja kwa moja kwenye maegesho ya magari (parking) kisha walizama kwenye ndinga la staa huyo wa Ngoma ya Mdogomdogo ambapo waliongozana hadi hotelini.

WENYEJI WA ZARI
“Boss Lady alifuatwa na wenyeji wake lakini cha kushangaza walishindwa kumpokea kwani baada ya kumuona yuko kwenye mahaba na Diamond nao wakajikata kiaina,” alisema sosi wetu.

HOTELINI UFUKWE WA BAHARI YA HINDI
Mtoa ubuyu wetu huyo aliendelea kunyetisha kwamba, baada ya kutimka airport, siku ya kwanza walilala hoteli moja maarufu jijini Dar (jina linahifadhiwa kwa sababu maalum) iliyopo kwenye Ufukwe wa Bahari ya Hindi.

‘Diamond Platnumz’ akiwa na mrembop huyo kwenye 'pipa'.

WASHTUKIWA, WAHAMA HOTELI
Chanzo hicho ambacho ni mtu wa karibu wa Diamond au Dangote, kilizidi kuvujisha kwamba, ilipofika usiku, wawili hao waliamua kuhama kwenye hoteli hiyo kwa madai kwamba walikuwa wameshtukiwa na watu wengi hivyo walihofia kunaswa.Ilisemekana kwamba walihamia hoteli nyingine ambayo nayo ipo pembezoni mwa ufukwe huo.

KOSA LA KIUFUNDI
Katika harakati zao zote, kosa la kiufundi walilofanya ni kujifotoa wakiwa kimahaba ufukweni na kuziachia picha hizo kwenye mitandao ya kijamii huku wakisifiana.

MASHABIKI
Mashabiki wa jamaa huyo kupitia mitandao hiyo, walidai kwamba huenda Diamond mwenye umri wa miaka 26, amefanya hivyo ili kumkomoa Wema ambaye alimtosa Dangote kistaarabu.
Walidai kwamba Zari anaweza kumtangaza zaidi Diamond kimataifa na hasa Uganda tofauti na Wema ambaye angemtangaza Bongo tu.

Mrembo Zari au Boss Lady akiteta jambo.

NENO
“Diamond mjanja sana. Kenya alizua gumzo na msanii Avri na yule demu wa Malindi, Mombasa na baadaye msanii Victoria Kimani.

NIGERIA
“Kule Nigeria alishakuwa gumzo na akina Davido, Iyanya, Tiwa Savege na Yemi Alade ambaye walikutana Coke Studio Africa jijini Nairobi, Kenya.

NI ZAMU YA UGANDA
“Ishu ilikuwa Uganda lakini sasa ni kama ananawa maana ameshapata ‘kiki’ kupitia Zari,” alisema mmoja wa wachambuzi wa habari za mastaa Bongo.

DIAMOND ANASEMAJE?
Baada ya kunyetishiwa mchongo huo, waandishi wetu walimvutia waya Diamond asubuhi, mchana, jioni na usiku lakini simu haikupokelewa.Zari ni mzawa wa nchini Uganda ingawa ana uraia wa Afrika Kusini ambapo anaishi kwa sasa.

Mkali Zari akiwa na ndinga yake aina ya Black Chrysler (2008).

UTAJIRI WA ZARI
Pamoja na uzuri wa umbo na sura ikiaminika kuwa ndiye msanii mrembo mkali Afrika Mashariki, Zari ndiye msanii tajiri wa kike namba moja nchini Uganda kwa kuwa ana utajiri wa kutisha.

Zari ana umri wa miaka 32 (anamzidi Diamond kwa miaka 6), akiwa ni mama wa watoto wawili, aliyeolewa na Ivan Semwanga ambaye mwaka jana ndoa yake ilidaiwa kuingia mdudu japo haijavunjika, hivyo bado ni mke wa mtu.

Zari anaingiza mshiko mrefu akimiliki majumba yanayomwingizia fedha ndefu na magari ya kifahari kama yale ya mastaa wa Kimarekani.

Zari amepata mafanikio makubwa  katika muziki na kipindi chake cha The Boss Lady kwenye Runinga ya UBC nchini humo, kinachomuingizia mkwanja mrefu kutokana na matangazo kikifananishwa na kile cha mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian cha Keep Up With The Kardashians.
 Kwa mujibu wa Jarida la Times la Uganda, huenda Zari akaingia kwenye orodha ya wanawake matajiri zaidi Afrika siku chache zijazo endapo ataendelea kuzichanga.

Aliyekuwa baby wa ‘Diamond Platnumz’, Wema Sepetu akipozi.

MAGARI
Zari mwenye maskani yake Kampala na Afrika Kusini, anamiliki ndinga kibao za kisasa na zenye thamani kubwa kama BMW (2006) lenye thamani ya dola 47,000 (Sh. milioni 75.2), Black Chrysler (2008) linalouzwa dola 16,000 (Sh. milioni 25.6) na Audi Q7 (2010) linalogharimu dola 53,000 (Sh. milioni 84.8).

Mengine ni Silver Chrysler (2008) lenye thamani ya dola 13,000 (Sh. milioni 20.8), Jetta Volkswagen (2006) linalogharimu dola 27,000 (Sh. milioni 43.2), Mercedes Benz Convertible (2008) linalouzwa dola 26,000 (Sh. milioni 41.6), Range Rover Sport (2010) lenye thamani ya dola 109,000 (Sh. milioni 174.4), Lamborghini Gallardo (2010) linalogharimu dola 198,000 (Sh. milioni 316.8), Hummer H2 la dola 150,000 (Sh. milioni 240) na mengine mengi, yote yakiwa na jina lake badala ya namba za usajili.

Pia Zari anamiliki maduka, hoteli na majumba ya kisasa kwenye miji mikubwa ya Pretoria na Cape Town nchini Afrika Kusini na Kampala, Uganda. Kazi ni kwako Diamond!

Picha kali za Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani hizi hapa.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Tuesday, November 11, 2014

Picha kali za Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani hizi hapa.

Jumatatu Novemba 10 badgalriri ambae ni hivi karibuni amerudi kwenye account yake ya instagram alitinga ndani ya Ikulu ya Marekani (White House) ambapo hizi ni picha alizoziweka kwenye ukurasa wake wa Instagram zikionyesha alichokifanya ndani ya Ikulu hiyo.






HELIKOPTA YA GWAJIMA YAZINDULIWA.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

HELIKOPTA YA GWAJIMA YAZINDULIWA.



 Hapa ikijiandaa kutua.

Helikopta ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima imezinduliwa leo hii katika viwanja vya Tanganyika Packers, vilivyopo Kawe jijini Dar na kuhudhuriwa na maaskofu wa makanisa mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo nchini.

Uzinduzi huo pia uliohudhuriwa na Mbuge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye alikuwa ndiye mgeni rasmi wa uzinduzi huo ulioendana na kukata utepe kisha kuirusha helikopta hiyo hewani kama ishara ya kuanza rasmi kazi yake ambayo ni kutoa msaada wa usafiri wa haraka wakati wa dharura na kuhubiri injili kupitia helikopta hiyo.

JOKATE ATAFUTA MWANAMME RASMI WA KUMZALISHA MTOTO..!!!


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Howard: Martinez destined for World Coach of the Year crown.

Everton goalkeeper Tim Howard has hailed his manager Roberto Martinez as a "genius" and believes the Spaniard is destined to one day be nominated for the Fifa World Coach of the Year award.

The candidates for this year's prize were announced on October 28, with Germany coach Joachim Low tipped to win after his triumph at this summer's World Cup in Brazil. Martinez, an FA Cup winner in 2013 with Wigan Athletic, led Everton back to qualification for European football last season and Howard believes it is just a matter of time until his manager's work is recognised. "I saw the list and thought 'one day his name will be on there'," he told Goal.

"He's phenomenal. He's literally a tactical genius and it's brilliant to work with him." Also among this year's nominees is Howard's USA coach and Low's predecessor Jurgen Klinsmann, who the 35-year-old believes is well worth his place on the list after guiding the Americans to the World Cup knockout stage. "We think he's a fabulous coach," Howard said. "We're lucky to have him.

It's very rare to see a coach with that type of longevity in the international game. "He's had four years now; we're looking at another four and that would be really good. I think the continuity of the squad is brilliant so I'm excited to see his name up there.

 "It's a testament to what we as players have been able to do on the pitch." Howard and Everton are back in the UEFA Europa League for the first time since 2009-10 and have begun their campaign well alongside Wolfsburg, Lille and Krasnodar in a difficult Group H. "It's great,"

 Howard said at a event to promote Western Union's #PassForSchool campaign. "Every team strives for that every year and very few teams make it.

 "The fans love it. They love to travel. They love those home games under the lights. "We relish it as players because you're playing in a top European competition. There's more games, you get the energy and the buzz of those big crowds and travelling and playing different teams. For us, we seem to really enjoy it." Despite the heightened workload this season, with Everton playing on six Thursdays before an intense Christmas schedule in the Premier League, Howard says that Martinez is managing the resources at his disposal well. "The manager's brilliant in terms of monitoring and managing cycles of games," he added. "So when we have European games and then a Premier League game that bookends it it's not a surprise to anyone. He gives us lots of rest. "Our training sessions are mapped out according to our energy levels so we have a really, really good plan in place. The manager and the staff are meticulous in trying to plan that." Everton overcame Lille 3-0 at Goodison Park on Thursday night to take a commanding lead in their group and Howard says that Martinez is not taking the competition lightly. "Without question, it's a priority," Howard declared. "What the plan was once we qualified for Europe last year was to get players in the door in the summer of quality so that we could rotate the squad, so we don't fizzle out and get tired. "But also be able to change and win games. Not just to change to keep things fresh. We've done that and [manager Roberto Martinez] seems to really feel that this is a competition we can do really well in."

Alichokiongea mbunge Ally Kessy kuhusu ishu ya Rais kutibiwa Marekani.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

This is what DP William Ruto said about Prophet KANYARI, fake miracles.

Deputy President William Ruto finally broke his silence and voiced his views on the ongoing debate regarding rogue pastors coning innocent Kenyans in the name of God with their fake miracles and prosperity gospel.

This follows an exposé on fake ‘Prophet Dr.’ Victor Kanyari of Salvation and Healing Ministry, who was caught on camera stealing from unsuspecting faithful in the name of God with fake miracles.

Speaking at PCEA Church in Kiambu yesterday, Ruto warned Kanyari and other unscrupulous pastors who are duping Kenyans with fake miracles and prosperity gospel that their days are numbered.

The Deputy President also cautioned Kenyans to be wary of Pastors and Bishops who take advantage of Christianity to demand money for miracles and performing other activities contrary to the teachings of their faith.

“Kenyans should be careful not to fall to the charlatans who pretend to be preachers. Churches should device ways of funding their programmes and get rid of fake pastors,” said Ruto.

He promised that the Government would put checks and balances to ensure pastors don’t con Kenyans and if they do, would be dealt with ruthlessly.

“As we commit to get rid of criminals undermining peace in some parts of the country, there should be no criminals in the church,” he said.

Alichokiongea mbunge Ally Kessy kuhusu ishu ya Rais kutibiwa Marekani.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Alichokiongea mbunge Ally Kessy kuhusu ishu ya Rais kutibiwa Marekani.


Kama hukusikiliza ama kuangalia kikao cha Bunge leo Novemba 10, moja ya mambo yaliyozungumziwa ni pamoja na suala kukosekana kwa dawa katika Hospitali kutokana na bohari kuu kusitisha huduma ya kusambaza dawa pamoja na matibabu ya Rais Dkt. Kikwete Marekani.

“.. Kutokana na Serikali kudaiwa bilioni 102 na bohari ya madawa MSD hali ya Hospitali zetu ni mbaya sana..  wagonjwa wanaendelea kuteseka na maradhi, madawa hamna.. wanawake wanakufa, watoto wanateseka.. huku sisi waheshimiwa wabunge tukiendelea kukaa humu tukila viyoyozi’

‘kwa taarifa tulizonazo Mheshimiwa Rais yupo nje kaenda kuchekiwa afya yake.. Ili tuwatendee haki Watanzania waliotuweka katika bunge hili na tuweze kuokoa maisha yao naomba bunge lako liahirishe shughuli zinazoendelea tuweze kujadii jambo hili kwanza.. tulipatie ufumbuzi kwa maslahi ya Watanzania.. na kwa maana hiyo naomba kutoa hoja na waheshimiwa wabunge naomba mniunge mkono..” – Rukia Ramadhani, mbunge viti maalum CUF.

JobMbunge Ally Kessy akajibu hoja hiyo;- “..Wabunge wangapi wa upinzani tayari wameshawahi kwenda India mara sita.. Kwa majina nawajua tena wa CUF wamekwenda India kutibiwa mara tatu mara nne leo mnazungumzia habari ya Rais kwenda kutibiwa Marekani, aende kutibiwa wapi Zanzibar? Acheni mambo yenu hayo..”

Naibu Spika wa Bunge akafunga mjadala huo;- “..Waheshimiwa wabunge ningewaomba sana kuhusiana na masuala ya wagonjwa wetu mbalimbali wawe ni wabunge.. Awe ni mheshimiwa Rais na wanatibiwa wapi.. Naliomba jambo hili tuliache litatuharibia hali ya hewa bila sababu jamani.. Nawaombeni sana hilo nimelitoa katika utaratibu na kwenye hansard tulifute jamani..”- Job Ndugai.

Kusikiliza kuhusiana na mjadala huo, bonyeza ‘play’ hapa.

MKE ANAYEISHI NA WAUME WAWILI MAPYA YAIBUKA; VIPIMO VYA DNA KUMALIZA UTATA WA NANI BABA WA MTOTO.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

MKE ANAYEISHI NA WAUME WAWILI MAPYA YAIBUKA; VIPIMO VYA DNA KUMALIZA UTATA WA NANI BABA WA MTOTO.


Sakata la mke kuishi na waume wawili  limechukua sura mpya baada ya kikao cha ndugu wa mume halali, Rogers Halinga kuketi kikao katika Kijiji cha Ishungu, Kata ya Ruiwa Mbarali, mkoani Mbeya na kumtaka Biton Mwashilindi kufanya mazungumzo nao kabla hawajafungua madai ya ugoni mahakamani na kudai fidia.

Rogers Halinga akiwa na baba yake mzee Jason Halinga na mtoto anayedaiwa kugombaniwa.

Kikao hicho kizito kilichofanyika nyumbani kwa baba mzazi wa Rogers, mzee Jason Halinga (95), Novemba mosi mwaka huu na kuhudhuriwa na ndugu lukuki nia ilikuwa kumsikiza mke wa Rogers, Juliana (22)  ili abainishe ukweli juu ya mtoto aliyezua utata kuwa ni wa nani baina ya mumewe (Rogers) na Biton Mwashilindi.

Mwanamke huyo  akijikanganya mara kadhaa katika kikao hicho akidai mtoto huyo ni wa Rogers, kwani aliondoka baada ya kutokea mabishano na mumewe akiwa na ujauzito wa miezi minne ndipo alipoanza mahusiano ya kimapenzi na Biton hadi siku anajifungua mwaka 2012 akiwa mikononi mwa Biton na aliamua kumwandikisha mtoto katika kadi ya kliniki kuwa baba yake ni Biton.

...Ndugu wakiwa kwenye kikao.

Kutokana na kauli hiyo, ndugu wa Rogers walikuja juu na kumtaka Juliana atamke wazi mtoto ni wa nani ndipo alijibu kuwa mtoto ni wa Biton Mwashilindi, ambapo alimkabidhi mtoto huyo mwishoni mwa Oktoba kwa hiari yake na wala hakuporwa kama alivyotoa taarifa polisi.

Kauli hiyo ya Juliana iliwafanya ndugu wa mume kupiga simu kwa mzazi wa Juliana anayeishi Lwanjilo wilayani Chunya kujua mustakabali wa kauli ya mtoto wao kwani ilidaiwa kuwa Biton aliwahi kwenda huko kujitambulisha kuwa yeye anaishi na mtoto wao kwa kuwa hakujua kuwa Juliana aliwahi kuolewa kwani alidai kuwa yeye ni mwanafunzi wa VETA Mbeya.

Baba mzazi wa Juliana,  Hosea Mwalukasa alipopigiwa simu alidai kuwa ni kweli Biton alifika kwake lakini hakumpokea kwa kuwa alidai kuwa Juliana ni mke halali wa Rogers Halinga, akawaambia kuwa kama amezaa na Juliana amefanya kosa na kwamba atatozwa faini ya ugoni kwani mwanaye hakuwahi kupewa talaka na Halinga.

Baada ya mvutano wa muda mrefu kikao kiliamua kuwa endapo Biton anadai kuwa mtoto aliyezaliwa na Juliana aliyefahamika kwa jina la Zalida Biton (2) ni wake basi alipe fidia ya kuzaa na mke wa mtu kiasi cha shilingi milioni kumi au n’gombe saba ili aweze kumkomboa mtoto wake na kwamba Juliana bado ni mke halali wa Rogers.

Rogers Halinga na mkewe wakiwa kwenye kikao.

Kwa upande wake Biton alidai kuwa hayuko tayari kulipa faini hiyo kwa sababu alikabidhiwa mtoto kihalali na Jeshi la Polisi Oktoba 31, mwaka huu katika Kituo Kikuu cha Kati  mbele ya maafisa wa polisi na kwamba hana kesi ya kujibu na anasubiri mtoto afikishe umri wa miaka saba ndipo amchukue.

“Baadhi ya wadau wamelilalamikia Jeshi la Polisi Tanzania kwa kuamua  masuala ya kisheria katika vituo vya polisi badala ya kufikisha katika mamlaka za kisheria kama mahakama. Uamuzi uliotolewa umesababisha tatizo kuwa zito,” alisema ndugu wa Rogers aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini.
 Amedai kitendo cha kukabidhiwa mtoto Biton bila kuchukuliwa kipimo cha DNA bado hakijatatua mgogoro huo na kwamba suluhu katika ndoa hiyo ni kitendawili kisicho na majibu.


JOKATE ATAFUTA MWANAMME RASMI WA KUMZALISHA MTOTO..!!!



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

ASKOFU WA KANISA LA KILOKOLE SINZA DAR ANASWA NA UNGA!

KIMENUKA! Vigogo wa madawa ya kulevya wakiwemo viongozi wa dini sasa wanaanza kupukutika kutoka kwenye mstari wa siri huku baadhi yao wakikimbilia nje ya nchi kufuatia oparesheni kali inayofanywa na Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulenya Tanzania kuwanasa kila kukicha, Uwazi  lina mchoro kamili.Askofu Emeka Nwachukwu Mert raia wa Nigeria anayehusishwa na biashara ya madawa ya kulevya.

Hivi karibuni kikosi hicho kimemkamata askofu (mwangalizi mkuu wa kanisa) aliyetambulika kwa jina la Emeka Nwachukwu Mert raia wa Nigeria ambaye ana kanisa la kiroho maeneo ya Sinza jijini Dar.
Jina la kanisa hilo limedhibitiwa na vyombo husika kwa sababu ya uchunguzi zaidi na uhalali wake wa kuwepo nchini.

SIKU YA TUKIO
Vyanzo vyetu makini ndani ya kikosi kazi vinaeleza kwamba, mchungaji huyo alikamatwa Oktoba 31, mwaka huu saa kumi usiku Tegeta wilayani Kinondoni, Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya ‘unga’ aina ya heroine kilo 35.

KAMA UNGEINGIA SOKONI
 Habari za ndani kutoka kwenye oparesheni hiyo zinasema kuwa, endapo unga huo ungeingia sokoni na kununuliwa, basi mtumishi huyo wa Mungu angevuna kitita cha zaidi ya shilingi bilioni mbili.

NYUMBA ALIYONASIWA YA PROFESA
Mchungaji huyo ambaye serikali imeanza kazi ya kulichunguza kanisa lake, alidakwa na mzigo huo haramu kwenye makazi aliyopanga ambayo ni nyumba ya profesa mmoja wa chuo kikuu, Mbezi jijini Dar es Salaam.

Askofu akiwa chini ya ulinzi.

WASHIRIKA NAO WADAKWA
Kwa mujibu wa chanzo, kamatakamata ya mchungaji huyo pia iliwakumba watuhumiwa wengine ambao ni Walyat Khan raia wa Pakistani, Chuksi Sylvester Agbazuo na Tony Olafor wote raia wa Nigeria na inadaiwa kwamba walikuwa wakikamatwa maeneo mbalimbali na kutoroka.

HABARI NYETI
Habari za siri ambazo Uwazi ilizinasa zinadai kuwa,  watumishi wa Mungu waliokuwa kwenye orodha ya kunaswa walikuwa wengi lakini  wamekimbilia nje ya nchi na kikosi hicho kimeshawasiliana na Polisi wa Kimataifa (Interpol) kwa ajili ya kuwasaka na kuwatia nguvuni.

MAJINA MAPYA MEZAN KWA NZOWA
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, Kamanda wa Polisi Kitengo cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Godfrey Nzowa amekabidhiwa majina ya vigogo wakiwemo viongozi wa dini ambao ni sugu katika biashara hiyo. Mbali na majina hayo,  pia amepewa ratiba zao za safari za kibiashara hivyo kilichobaki ni kuwafuatilia na kuwakamata na ushahidi ili kuhakikisha kwamba hawawezi kupona mahakamani.

MTANDAO HATARI
Habari zaidi zinadai kuwa, siku za hivi karibuni, Kamanda  Nzowa amekuwa akifumua mtandao wa watu wazito katika biashara hiyo na imebainika kuwa vigogo hao wana mtandao mkubwa serikalini ikiwemo wizara ya mambo ya ndani ambao wanawalinda kwa kupewa mamilioni ya pesa kwa ajili ya usimamizi wa upitishwaji wa biashara hiyo haramu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar.

“Unajua zamani viongozi hao serikalini walikuwa wakimsumbua Kamanda Nzowa ili awaachie watuhumiwa waliokamatwa na unga bila mafanikio, lakini sasa wameshamsoma kiasi kwamba hata wakikamatwa hawampigii simu tena,” kilisema chanzo kingine.

Dawa za kulevya alizokutwa nazo askofu huyo.

WATOTO WA VIGOGO
Habari nyingine zinadai kuwa, Kamanda Nzowa pia ana majina ya watoto wa vigogo wa serikali wanaojihusisha na biashara hiyo na anayafanyia kazi.

KUMBUKUMBU
Kukamatwa kwa askofu huyo kumekuja baada ya kukamatwa kwa vigogo ambao ni viongozi wa dini katika makanisa ya kilokole.

Januari 11, mwaka huu, Askofu Moris Charles alidaiwa kukamatwa na polisi maeneo ya Chinga Mbili mkoani Lindi akiwa na kilo 210 za madawa ya kulevya aina ya heroine yenye thamani ya shilingi bilioni 9.4, kesi yake bado inaendelea mahakamani mkoani humo.

Juni 8, 2011 polisi walifanikiwa kumkamata Mchungaji Kapupu Denis Okechuku wa kanisa la kilokole lililopo Kinondoni Biafra akiwa na kilo 81 za cocaine, kesi yao bado ipo Mahakama ya Kisutu, Dar.

Nyumba aliyokutwa askofu huyo.

KAMANDA NZOWA
Uwazi lilipomtafuta Kamanda Nzowa ofisini kwake juzi, alisema kuna watu wanne waliokamatwa Tegeta wakiwa na kilo 35 za madawa ya kulevya aina ya heroin na kuna wengine wanatafutwa kuhusiana na tukio hilo.

“Kwa sasa nisingependa kuzungumzia sakata hilo kutokana na sababu za kiupelelezi kwani kuna wengine tunawatafuta na nitahakikisha wanakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria, nawashukuru wananchi kwa ushirikiano wao,” alisema Nzowa.

Majibu ya boss wa Facebook baada ya kuulizwa kwanini anavaa Tshirt hii moja tu kila siku Haya HAPA.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Sunday, November 9, 2014

Majibu ya boss wa Facebook baada ya kuulizwa kwanini anavaa Tshirt hii moja tu kila siku Haya HAPA.

Hapa nyumbani Tanzania nimeshawahi kusikia kuhusu matajiri wachache wanaofanya biashara ambao huwa hawabadili nguo zao au huwa kuna vitu wanafanya vinavyopelekea hisia za watu kuamini kwamba utajiri wao ni wa uchawi.

Mfano kuvaa nguo ya aina moja hiyohiyo kila wakati, wengine huwa wanatembelea magari mabovu kabisa lakini watoto wao na wake zao wanatembelea magari makali na wanabadilisha kila wakati, wengine tunaambiwa wanalala barazani.

Sasa hii ya tajiri wa mtandao wa kijamii wa Facebook wenye watumiaji zaidi ya bilioni moja kote duniani Mark Zuckerbeg sijui watu wataiweka kwenye kipande gani manake ameonekana mara nyingi sehemu na nyakati tofauti akiwa amevaa Tshirt moja tu ya kijivu.

Ni swali ambalo Waandishi wengi waliwahi kutamani kupata time ya kumuuliza ambapo kwa bahati nzuri kaulizwa kwenye kipindi cha maswali na majibu na akatoa jibu akiwa na tabasamu zito kabisa.

‘Nimepata hii bahati ya kipekee kuwa kwenye nafasi niliyonayo, ninaamka kila siku na kuwahudumia zaidi ya watu bilioni moja duniani… naona sitofanya kazi yangu vizuri kama nitatumia muda wangu kwenda kutafuta/kuchagua nguo nzuri, tshirt mnayoniona nayo ni ya rangi moja lakini nilizinunua nyingi za namna hii’

‘Ni Tshirt ambayo sio moja… ninazo nyingi ila zinafanana, muda wangu mwingi nimeutenga kwa ajili ya kuhudumia watu na sio kujihudumia mimi kwenye kuchagua nguo nzuri, mavazi ni kitu kidogo sana kwangu’

NDEGE YA RAIS WA CHINA YAHUSISHWA NA WIZI WA PEMBE YA NDOVU.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Thursday, November 6, 2014

NDEGE YA RAIS WA CHINA YAHUSISHWA NA WIZI WA PEMBE YA NDOVU.


Ndege ya rais wa China.
Inadaiwa kuwa wanunuzi, raia wa Uchina walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini Tanzania na kuzitorosha kutoka nchini humo katika ndege ya binafsi ya Rais wa Uchina, Xi Jinping wakati alipozuru bara Afrika. Kulingana na shirika la ujasusi la mazingira lililo na makao yake mjini London.

Pembe hizo zilinunuliwa wiki moja tu kabla ya ziara ya rais huyo wa China kuja nchini tanzania mwaka ulioipita ambapo zilifichwa katika mifuko ya wanadiplomasia ili kutokamatwa.

Shirika hilo pia linadai kwamba wajumbe waliokuwa wakiandamana na Rais Xi walinunua viwango vikubwa vya pembe hizo.

Pembe za ndovu.

Uuzaji wa Pembe za ndovu ulipigwa marufuku mwaka 1989 ili kuwazuia wawindaji haramu kuwaua ndovu.

jjjjjjjjjjjjjjjjjj

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINi

SOURCE BBC/SWAHILI

habari kamili :: read more...
 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top