Showing posts with label music. Show all posts
Showing posts with label music. Show all posts

Saturday, December 20, 2014

OFFICIAL VIDEO: ALIKIBA - MWANA.


MZAZI MWENZIYE NA SUGU AVAA PEMPASI UKUMBINI, JIONEE MWENYEWE HAPA.


MCHINA AMLA MATE DADA WA KIBONGO MBELE ZA WATU.



UNGANA NAMI KATIKA FACEBOOK KWA KUBOFYA Like HAPO JUU

habari kamili :: read more...

Tuesday, December 16, 2014

Wema Sepetu Alisusa Gari Aina ya Murano Alilopewa Kama zawadi na Diamond Platnumz.


LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.

Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.

“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda airport hilo Murano sitaki hata kulisikia, sijui najisikiaje hata nikiliona,” alisikika Wema.Paparazi wetu baada ya kusikia Wema akionesha wazi kuwa analichukia gari hilo, alimuuliza sababu inayomfanya alichukie ambapo alisema hajui ni kwa nini analichukia ingawa ni mali yake.

“Siku hizi sipendi kutumia hili Murano tena nalichukia kweli, inafikia kipindi nakosa raha nikiliona lakini ukiniuliza sababu ya kulichukia kiasi hicho hata sina sijui nimezoea sana kutumia BMW, ndiyo maana najikuta nalichukia gari hili,” alisema Wema.

Kwenye bethidei yake iliyofanyika Septemba, mwaka huu, Wema alizawadiwa magari mawili. La kwanza lilikuwa ni BMW 545i (Sh. Milioni 56) ambalo liliibua utata juu ya mtu aliyemzawadia na la pili ni Nissan Murano (Sh. milioni 36) alilopewa na Diamond

Inasemekana Beyonce na Jay Z wameiba wimbo wao wa ‘Drunk in Love’.



UNGANA NAMI KATIKA FACEBOOK KWA KUBOFYA Like HAPO JUU

habari kamili :: read more...

Inasemekana Beyonce na Jay Z wameiba wimbo wao wa ‘Drunk in Love’.

Mwanamke mmoja nchini Hungary amewalalamikia mastaa Beyonce  na mumewe Jay Z akidai wamemwibia wimbo wake wa ‘Drunk in Luv‘ ambao tayari aliurekodi na kwa sasa umeonekana kama wa kwao.

Mwanamuziki Monica Miczura maarufu kama Mitsou alisema Bey na Jay Z pamoja na Producer wao Timbaland waliuchukua mashairi ya wimbo huo aliourekodi mwaka 1995 kisha kuutumia bila ruhusa yake.

lovvvvvMitsou alisema hakuwapa tuhusa ya kutumia wimbo wake na mbaya zaidi wimbo huo ulitumika bila ya yeye kujua ..”Waliubadilisha sehemu ndogo sana katika mashairi yake na badala yake wakaongeza vionjo vya mapenzi,ni wimbo wangu unajulikana kwa jina la Bja,Bja Pelem“.

Mwimbaji huo alisema ana nithibitisho vyote na anataka alipwe na pia amemtaka mwanasheria wake kuzuia wimbo huo kuendelea kuchezwa mpaka hapo mashtaka yake yatakaposikilizwa.

UPDATES ZA MATOKEO MIKOA MBALIMBALI YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA YALIYOKWISHA TANGAZWA HADI SASA.



UNGANA NAMI KATIKA FACEBOOK KWA KUBOFYA Like HAPO JUU

habari kamili :: read more...

Thursday, December 11, 2014

Davido aondoka kwenye club Uganda baada ya wimbo wa diamond ‘Number 1 rmx’ kuchezwa !!


Davido na Pallaso

Kuna taarifa kutoka nchini Uganda kuwa Davido aliyepo nchini humo aliondoka kwenye club ya jijini Kampala baada ya DJ kucheza wimbo alioshirikishwa na Diamond, Number One Remix.

Davido alikuwa akila bata kwenye lounge iitwayo Laftaz ya jijini Kampala na baadaye mood kukatika baada ya kusikia wimbo huo ukichezwa. Mtandao wa BigEye Uganda umeandika kuwa Davido aliyekuwa amepewa kampani na msanii wa Uganda ambaye pia ni mdogo wake na Jose Chameleone, Pallaso, alirudi kwenye hoteli aliyokuwa amefikia.

Tumemtafuta Pallaso na haya ndio aliyetuambia: I don’t know, I missed that party, we were already partying and I was not really paying attention so I don’t know,” Pallaso alisema.

Hata hivyo Pallaso amekiri kusikia uvumi huo.
“I heard some stories but you know there is a lot of gossip going on in Kampala so you could never know what to trust and what not to trust, but I did not really see that part,” ameongeza.
Pallaso amemshirikisha Davido kwenye wimbo wake utakaotoka wiki ijayo.


DIAMOND AKAMILISHA KUTEMBEA NA MADEMU WANAOJIITA WAKALI ‘TAKEU’.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Monday, November 24, 2014

DOWNLOAD NGOMA MPYA NA KALI: Lady Jaydee ft. Dabo – Forever

Wimbo umetayarishwa na producer Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo ambayo itatoka wiki hii imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.

CHIMBUKO LA AKAUNTI YA ESCROW NA NANI ANACHEZESHA NGOMA YA ESCROW NA IPTL? SOMA HAPA KUJUA UNDANI WAKE.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Thursday, November 20, 2014

JIONEE HAPA OFFICIAL VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ - NITAMPATA WAPI

VIDEO HIYO HAPO CHINI

Cossy Orjiakor:: 'You don’t have to Work Very Hard to Get Money".



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Thursday, November 13, 2014

Download na Sikiliza mp3 ya wimbo mpya wa Ney Wa Mitego- Akadumba.

WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO 'AKADUMBA'

Wema Sepetu Releases New Hot Photos With Strong Captions Baada ya kuzinguana na Jamaa.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Sunday, October 26, 2014

Inasadikika hii ndo Barua ya Diamond ! Duh noma!

Kazi kweli kweli

PICHA MBALIMBALI ZA HALI ILIVYOKUA BAADA YA NAIBU WAZIRI KURUSHIANA RISASI NA MWANAE.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Saturday, October 25, 2014

UMEIPATA HII YA DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!

 
 Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu.

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani.

Kwa mujibu wa chanzo chetu ndani ya jeshi la polisi, baada ya jeshi kutoa tamko kuwa ni kinyume cha sheria, juzi Diamond alitakiwa kwenda kujisalimisha polisi lakini hakufanya hivyo jambo lililosababisha wenzake kukamatwa na kuwekwa nyuma ya nondo za mahabusu ya Oysterbay, Kinondoni jijini Dar.
Ilisemekana kwamba baada ya Wasafi (madensa wa Diamond) kukamatwa, Babu Tale naye alifikishwa katika kituo hicho ambapo maafisa kadhaa wa jeshi la polisi walionekana katika eneo hilo wakiweka ulinzi mkali.

Madensa wa ‘Diamond Platnumz’ wa kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) wakisindikiza shoo yake.

Chanzo hicho kilieleza kwamba, siku ya tukio Oktoba 21, mwaka huu, uongozi wa Diamond ulipewa muda wa kujieleza kabla ya saa 2:00 asubuhi lakini haukufanya hivyo ndipo hatua hiyo ikachukuliwa.
Hata hivyo, baadhi ya watu walikuwa wakihoji kwa nini jeshi la polisi lilimshikilia Babu Tale peke yake bila Diamond lakini vyanzo vilieleza kuwa mwanamuziki huyo huenda alikuwa safarini.

Diamond akiendelea kutoa burudani jukwaani.

Ilielezwa kwamba wanaomsaka Diamond na waliowakamata Wasafi ni wanajeshi wa Military Police (MP) ambao waliwabwaga jamaa hao kituoni hapo kisha kuendelea na mambo yao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Dar, Camillus Wambura alisema bado hajawasiliana na kituo cha Oysterbay kuhusu suala hilo na hajapata taarifa kwa kuwa kesi hiyo inachunguzwa na iko chini ya Mkuu wa upelelezi wa Mkoa.

Akijibu kuhusu taarifa za uongozi wa Diamond na Diamond kupewa muda wa kujieleza, Kamanda Wambura alijibu:

Diamond Chege wakifanya yao.

“Uchunguzi unafanywa huko (Oysterbay). Kwa sasa hivi sina taarifa hiyo nina mambo mengi sana. Kwa hiyo kwa sasa hivi uchunguzi unafanywa chini ya Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa. Sijapata nafasi ya kujua wamefikia wapi katika uchunguzi wa suala hilo.”

Mapema wiki hii, Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) lilitoa taarifa kwa vyombo vya habari likipiga marufuku raia kuvaa sare za jeshi.

Kwa mujibu wa mwanajeshi wa JWTZ ambaye aliomba hifadhi ya jina kwa kuwa si msemaji wa jeshi hilo, taaluma yake ya sheria imemfanya kuchimba kwa undani suala hilo na kugundua kuwa endapo Diamond atapatikana na hatia atapigwa faini au kwenda jela miaka miwili au mitatu au vyote, yaani faini na kifungo.

Alisema kosa la Diamond ni kushindwa kutii wito kwani alitakiwa kuripoti mwenyewe polisi hivyo lazima atapanda mahakamani kujibu shitaka hilo na lile lenyewe la kutumia sare za jeshi hilo.Chanzo hicho kilidai kwamba si mara ya kwanza kwa jamaa huyo kuingia kwenye kashikashi kama hiyo kwani kuna kipindi alikwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambapo alionekana na sare hizo stejini na akapewa onyo lakini safari hii amejiongeza tena kuonesha kuwa ni kichwa ngumu.

WEMA ANAPONDA RAHA NCHINI CHINA MCHEKI HAPA.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Wednesday, October 22, 2014

DIAMOND AKAMATWA NA POLISI NA KUACHIWA KWA DHAMANA.

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'.
Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha Kituo cha Polisi cha Oysterbay, ahojiwa kwa saa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ  kituoni hapo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, JWTZ wamezichukua sare zote za wasanii hao kwa ajili ya uchunguzi zaidi kabla ya kuamua kuchukua hatua zaidi za kisheria dhidi yao.
Diamond aliongozana kituoni hapo na promota wa wasanii, Chief Kiumbe.

LUNDENGA AONYESHA UTHIBITISHO WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KAMA ILIVYO KWENYE CHETI CHAKE CHA KUZALIWA.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Monday, October 20, 2014

A.Y ala shavu jingine la kufanya kolabo na msaniii mkubwa Marekani

Msanii AY ambaye hivisasa yuko nchini Marekani kwaajili yakutengeneza video ya wimbo wa ‘Touch me Touch Me’ aliofanya na Sean Kingstone na Ms Trinity.Amesema kuwa kila kitu kilienda vizuri na amepata support kubwa kutoka kwa mama yake Sean Kingstone, na kuna baadhi ya mastaa wataonekana kwenye video hiyo.Ay amesema kuwa video hiyo inaweza kutoka November mwaka huu.
Habari nzuri na kubwa ni kwamba msanii huyo amesema kuna uwezekano wakufanya colabo na msanii mkubwa wa Marekani ambae hakuwa tayari kumtaja,.Kila la kheri aarif endelea kuiwakilisha Tanzania vizuri.

Mwanafunzi wa darasa la sita wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha Abakwa na watu sita.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Sunday, October 19, 2014

PICHA MBALI MBALI ZA DAVIDO AKIKAMUA SERENGETI FIESTA DAR.

  Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.


Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumzakifanya makamuzi na Davido (kulia).

WAZUNGU WAKUTWA WAMEKUFA CHUMBANI JIJINI DAR.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Friday, October 17, 2014

PICHA MBALI MBALI ZA DAVIDO NDANI YA DAR ES SALAAM.


 Msanii kutoka nchini Nigeria Davido (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa sehemu ya VIP na baadhi ya jamaa zake muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere usiku wa kuamkia leo.

Baadhi ya mapaparazi wakiwajibika kupata picha za matukio ya ujio wa Davido kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Nigeria.

Mtangazaji wa Clouds TV, Lady Haha (kushotoi), akifanya mahojiano na Davido muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.

Mwandishi wa Habari wa Global Publishers LTD, Musa Mateja (kushoto), akiwa na Davido muda mfupi baada ya kutua jijini Dar es Salaam.

Davido akionyesha tisheti yenye maneno ya kauli mbiu ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014, mara baada ya kukabidhiwa na mmoja wa wahusika wa tamasha hilo.

Davido (wa pili kutoka kushoto) akijadiliana jambo na wenzake baada ya kutua kwenye Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, usiku wa kuamkia leo.

Davido akizungumza jambo na meneja wake sehemu ya VIP ya Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kutua nchini Tanzania.

VAI WA UKWELI: SIPIKI, HIYO KAZI YA HAUSI GELI MI NAMSTAREHESHA MPENZI TU!


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Thursday, October 16, 2014

Wiz Khalifa na Future watoa nyimbo kuwadiss Amber na Ciara, usikilize hapa.

Future na Ciara waliamua kuvunja ndoa yao miezi michache iliyopita, huku Wiz Khalifa na Amber Rose wakiamua kuivunja ndoa ya wiki chache zilizopita. Habari mpya ni kwamba Future na Wiz Khalifa wameingia studio na kurekodi wimbo wa pamoja wakiwadiss waliokua wake zao  ( Amber na Ciara )

Wimbo huo ambayo imeachiwa jana usiku kupitia mtandao wa Youtube na Prodyuza Mike Wil ambaye ndio aliyetengeneza ngoma hiyo. Wimbo huo uliopewa jina la ‘P**sy Overrated na lengo kubwa likiwa ni kuwaponda Ambaer na Ciara. Katika moja ya mistari ya nyimbo hiyo Wiz alimponda Amber kwa kusema ” Rich ni**a get you/ he’ll never put nothing above you / every time I see you I don’t never want nothing from you ” huku Future akimponda Ciara kwa kusema ” You supposed to f*ck me like a star/ girl you know you faking / yo pu**y overrated!”

Unaweza usikiliza wimbo huu hapa chini. Tungependa kupata maoni yako kuhusu kitendo kilichofanywa na Future na wiz je ni sawa???

Images of The world's largest cruise ship arrived in the UK for the first time.; ANGALIA MELI KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI YATIA NANGA UINGEREZA.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

UZINDUZI MAALUM WA NGUO ZA T.I WATANGAZWA DAR.

 Rappa kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaopiga shoo katika Usiku wa Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club. 

WAKATI ukidhani kwamba Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 halitakuwa na kitu kingine kikubwa kufuatia taarifa kuwa mshindi wa tuzo ya Grammy rapa T.I. ataongoza shoo siku hiyo, imetangazwa kwamba kutakuwa na uzinduzi maalum wa nguo anazotumia T.I. kama vile Hustle Gang, Akoo na Strivers Row katika duka la Pop Up siku ya Jumamosi ya tarehe 18, Oktoba lililo katika jengo la Dar Free Market Mall, upande wa pili wa viwanja vya Leaders Club.  

Ndugu Jason Geter, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Grand Hustle Records ya Atlanta, ambayo ndiyo lebo ya T.I pamoja na Mwana Hip-Hop, B.O.B na mwingine anayekuja juu maarufu kama Iggy Azalea, atakuwepo katika uzinduzi huo utakaofanyika jijini Dar es Salaam ambao umedhihirisha ni jinsi gani tukio hili lilivyo muhimu kwa kampuni ya Grand Hustle.

“Kwa upande wetu, tumefurahi kuleta  bidhaa zetu katika bara la Afrika haswa hapa nchini Tanzania, tunadhani hili ni soko kubwa na ambalo lipo tayari kwa bidhaa zetu. Sikuja kuzijulisha bidhaa zetu hapa Tanzania pekee bali pia kuangalia mitindo mbalimbali iliyopo hapa nchini,” alisema Geter. 
Duka la Pop Up litafunguliwa kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 9 alasiri na wateja watapata nafasi ya kununua nguo halisi za Hustle Gang, Akoo na Strivers Row, wamiliki wa maduka ya kisasa ya nguo boutique pia wataona bidhaa kwa ukaribu na kutoa oda zao na mashabiki watanunua na tiketi za Serengeti Fiesta hapohapo.

Ziara ya Serengeti Fiesta inatambulika kama tamasha kubwa la muziki na lenye mafanikio katika ukanda wa Afrika mashariki na kati ambalo limeweza kuwavutia zaidi ya mashabiki 500,000 katika matamasha yake yaliyohusisha wanamuziki wa kimataifa kama Jay-Z, Ludacris, 50 Cent, Rick Ross na wengine wengi.
Shoo ya mwisho ya mwaka huu ya tamasha la Serengeti Fiesta itafanyika leo Jumamosi, Oktoba 18, katika Viwanja vya Leaders Club.

Images of The world's largest cruise ship arrived in the UK for the first time.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

DIAMOND AIBU NYINGINE DODOMA!; MASHABIKI WAMTAKA AWARUDISHIE VIINGILIO VYAO BAADA YA MUZIKI WAKE KUZINGUA.


 KWELI ni aibu nyingine! Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Jumamosi iliyopita alikumbwa na aibu nyingine kufuatia onesho lake kufanyika ndivyo sivyo na hivyo kuzua tafrani miongoni mwa mashabiki wake mjini hapa.

Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akifanya shoo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge mjini Dodoma.

Aibu hiyo ilimkuta staa huyo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge mjini Dodoma ambako sukari huyo wa warembo alikuwa akifanya shoo.

AIBU YENYEWE
Aibu yenyewe iliyompata Diamond ilisababishwa na kuzimika kwa muziki wake mara tatu katika onesho hilo na hivyo kuwafanya mashabiki kupiga kelele huku wengine wakidai pesa zao za viingilio.

MAFUNDI MITAMBO WAHAHA
Hali hiyo iliwafanya mafundi mitambo kurekebisha nyaya kwa zaidi ya dakika 20 kila pale muziki ulipozimika hali iliyosababisha watu kuzidi kupiga mayowe na kumtolea maneno ya shombo Diamond, wengine wakitishia kumpopoa kwa mawe.

Muda mfupi baada ya mitambo hiyo kurekebishwa, mashabiki walianza kuserebuka tena lakini baada ya dakika 45 muziki ulizima tena na kusababisha mayowe mengine ya mashabiki wakiendelea kusema wameliwa pesa zao.

Mafundi mitambo wakirekebisha nyaya ili shoo iendelee.

WEMA ATAKIWA
Katika zomeazomea ya safari hii,  mashabiki walikwenda mbele zaidi wakimtaka Wema apande jukwaani  kusalimia wakati mitambo ikirekebishwa wakiamini Diamond alikwenda na bebi wake huyo kwenye onesho hilo.

Hata hivyo, mafundi mitambo waliingia tena kibaruani na kurekebisha mambo baada ya dakika 23 muziki ukaendelea.

MAIKI NAZO ZAKOROMA
Diamond alianza kufanya tena makamuzi ndipo maiki nazo zikaanza kukoroma ambapo alianza kuwaomba wasaidizi wake wambabidilishie lakini kila waliyompa ilikuwa ikikoroma na kuwafanya mashabiki wazidi kupandwa na hasira.

Mashabiki wakisubiri shoo ilipobuma.

Kitendo hicho kilimfanya Diamond asimamishe onesho na kuanza kumtupia lawama muandaaji (Matei) akidai kuwa ameshindwa kuweka hata betri mpya kwenye maiki alizomuandalia wakati amewatoza mashabiki kiingilio kikubwa cha shilingi 35,000 (kawaida) na 40,000 kwa VIP.

“Haiwezekani bwana, huu ni ubabaishaji wa hali ya juu, mwandaaji gani unaandaa shoo, unawachaji mashabiki kiingilio kikubwa halafu unashindwa hata kuweka betri mpya kwenye maiki?

DIAMOND ABANWA NA RISASI JUMATANO
Kufuatia hali hiyo, baada ya shoo, Risasi Jumatano lilimfuata Diamond na kumuuliza kulikoni muziki wake kuwa mwepesi pia kukatikakatika kila mara huku maiki nazo zikikoroma.

“Braza huu muziki siyo kabisa, huu ni muziki wa kupiga kwenye vigodoro lakini siyo wa kufanyia shoo zangu hasa kama hii ambayo watu wameingia kwa bei mbaya, ni kuwaibia watu.
“Mimi ni mtoto wa Kiislam ni lazima niongee ukweli, niliposikia sehemu yenyewe ninayokuja kufanyia shoo inaitwa Matei Lounge nikajua ni sehemu bab’ kubwa lakini kumbe ni ubabaishaji mtupu,” alilalama Diamond.

Nasibu Abdul ‘Diamond’ akirejea kuendelea na shoo.

INTAVYUU FUPI
Katika intavyuu fupi, Diamond, alisema anadhani kama anahujumiwa kwani haiwezekani muandaaji ashindwe kuweka vitu muhimu kwenye shoo. alidai wanafanya hivyo wakijua inapotokea tatizo kama hilo anayejulikana ni Diamond.

UJERUMANI, UINGEREZA
Ilianza nchini Ujerumani ambapo staa huyo alinusurika kudundwa kufuatia vurugu zilizoibuka ukumbini alfajiri ya Jumapili ya Agosti 31, mwaka huu baada ya kucheleweshwa kupanda stejini kwenye Ukumbi wa Sindelfingen uliopo Mji wa Stuttgart.

Nasibu Abdul ‘Diamond’ akitoa burudani.

Nchini Uingereza nako, Septemba 20, mwaka huu, Diamond alijikuta ndani ya aibu kubwa kwa mashabiki wake kufuatia mwandaaji kuingia mitini katika ukumbi wa LafACE club jijini Londan licha ya mashabiki kujaa.

KASORO YA DAIMOND NI MAMBO YA ‘USWAHILI’
Uchunguzi wa gazeti hili umegundua kuwa, Diamond licha ya kuwa msanii mkubwa kwa sasa lakini bado anaendesha mambo yake ‘kiswahili’ sana.

Nuhu Mziwanda na bebi wake Shilole wakitoa sapoti katika shoo ya Diamond.

Kwa kawaida, msanii anapokwenda kupiga shoo mahali, kuna utaratibu unaoitwa kwa Kiingereza kama Technical Rider ambapo wasimamizi wake, akiwemo meneja huenda kuukagua ukumbi, usalama, muziki wenye viwango na hata steji shoo ilivyo.

Kama mambo hayo hayatakuwepo, msanii anaweza kugoma kufanya shoo. Lakini mambo yote hayo hutakiwa kuwepo kwenye mkataba wa makubaliano.Meneja wa Diamond, Babu Tale alipopigiwa simu juzi ili kuulizwa kwa nini hakuwepo Dodoma kuhakikisha uwezo wa vyombo vya muziki na maandalizi mengine, hakupatikana hewani!

ANGALIA PICHA MBALIMBALI ZA SHEREHE YA KUZALIWA MAPACHA WA MENGI.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Monday, October 13, 2014

ANGALIA PICHA NA MATUKIO YOTE WALIYOFANYA NUH MZIWANDA NA SHILOLE NA KUWATIA MASHABIKI BUTWAA.


  Shilole akifanya yake jukwaani akiwa na washezo show wake wekeend hii Mkoda Dodoma kwenye ukumbi wa Matei Lounge Area D
 

Nuh Mziwanda na shilole wakiwa jukwaa moja wakiburudisha mashabiki wa katika ukumbi wa matei lounge

Shilole akiimba kwa hisia stejini

hapo sasa

Shilole akienelea kuwaburudisha mashabiki wake Mkoani Dodoma

Nuhu Mziwanda Naye jukwaani kama kawaida yake akiwaimbisha Mashabiki wake ''Msondongoma"

Nuh Mziwanda kwa Steji

Wadada wa Dodoma wakiburudishwa na baba Shishi Jukwaani

Annie Idibia brings village life to the city.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...

Monday, October 6, 2014

TOT NA WAKALI WA HIP HOP WAPAGAWISHA MASHABIKI DARLIVE.


Mashabiki wakiserebuka.

H. Baba akiwapagawisha mashabiki.

H. Baba akiimba katika msitu wa mashabiki.

Meneja wa H. Baba aitwaye Dk Fadhil, akimmwagia pesa H. Baba.

Roma Mkatoliki akikamua.

…Akipagawisha mashabiki.

Mashabiki wenye mzuka.

Roma akiwapelekesha puta mashabiki.

Juma Nature akifanya yake.

…Akipeana ‘Hi’ na mashabiki wake.

JB akikamua.

Juma Nature na JB wakikamua.

UKUMBI wa maraha wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakheem jijini Dar es Salaam jana ulifurika mashabiki wa muziki ambao uliporomoshwa na wasanii mahiri ambao ni Juma Nature, Roma Mkatoliki, H. Baba na mkewe H. Mama, na bendi ya taarab ya TOT.



HAUSIGERI ANASWA AKIJIUZA SINZA; MWENYEWE ASEMA ETI UGUMU WA MAISHA.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

habari kamili :: read more...
 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top