Wednesday, October 22, 2014

DIAMOND AKAMATWA NA POLISI NA KUACHIWA KWA DHAMANA.

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'.
Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha Kituo cha Polisi cha Oysterbay, ahojiwa kwa saa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ  kituoni hapo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, JWTZ wamezichukua sare zote za wasanii hao kwa ajili ya uchunguzi zaidi kabla ya kuamua kuchukua hatua zaidi za kisheria dhidi yao.
Diamond aliongozana kituoni hapo na promota wa wasanii, Chief Kiumbe.

LUNDENGA AONYESHA UTHIBITISHO WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KAMA ILIVYO KWENYE CHETI CHAKE CHA KUZALIWA.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top