Tuesday, October 21, 2014

LUNDENGA AONYESHA UTHIBITISHO WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KAMA ILIVYO KWENYE CHETI CHAKE CHA KUZALIWA.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014 kwa wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.

Cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.

Hashim Lundenga akiongea jambo kwa wanahabari.

Hashim Lundenga akionyesha baadhi ya hati mbalimbali za washiriki wa Miss Tanzania mwaka huu.

Afisa masoko wa Sahara, Joan John akimpatia King'amuzi cha kampuni hiyo kama zawadi kwa mshindi wa Miss Tanzania wa kwanza hadi wa tatu.


South African athlete Oscar Pistorius jailed for FIVE years for killing Reeva Steenkamp.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top