Thursday, December 11, 2014

Davido aondoka kwenye club Uganda baada ya wimbo wa diamond ‘Number 1 rmx’ kuchezwa !!


Davido na Pallaso

Kuna taarifa kutoka nchini Uganda kuwa Davido aliyepo nchini humo aliondoka kwenye club ya jijini Kampala baada ya DJ kucheza wimbo alioshirikishwa na Diamond, Number One Remix.

Davido alikuwa akila bata kwenye lounge iitwayo Laftaz ya jijini Kampala na baadaye mood kukatika baada ya kusikia wimbo huo ukichezwa. Mtandao wa BigEye Uganda umeandika kuwa Davido aliyekuwa amepewa kampani na msanii wa Uganda ambaye pia ni mdogo wake na Jose Chameleone, Pallaso, alirudi kwenye hoteli aliyokuwa amefikia.

Tumemtafuta Pallaso na haya ndio aliyetuambia: I don’t know, I missed that party, we were already partying and I was not really paying attention so I don’t know,” Pallaso alisema.

Hata hivyo Pallaso amekiri kusikia uvumi huo.
“I heard some stories but you know there is a lot of gossip going on in Kampala so you could never know what to trust and what not to trust, but I did not really see that part,” ameongeza.
Pallaso amemshirikisha Davido kwenye wimbo wake utakaotoka wiki ijayo.


DIAMOND AKAMILISHA KUTEMBEA NA MADEMU WANAOJIITA WAKALI ‘TAKEU’.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online