
Mashabiki wakiserebuka.

H. Baba akiwapagawisha mashabiki.

H. Baba akiimba katika msitu wa mashabiki.

Meneja wa H. Baba aitwaye Dk Fadhil, akimmwagia pesa H. Baba.

Roma Mkatoliki akikamua.

…Akipagawisha mashabiki.

Mashabiki wenye mzuka.

Roma akiwapelekesha puta mashabiki.

Juma Nature akifanya yake.

…Akipeana ‘Hi’ na mashabiki wake.

JB akikamua.

Juma Nature na JB wakikamua.

UKUMBI wa maraha wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakheem jijini Dar es Salaam jana ulifurika mashabiki wa muziki ambao uliporomoshwa na wasanii mahiri ambao ni Juma Nature, Roma Mkatoliki, H. Baba na mkewe H. Mama, na bendi ya taarab ya TOT.

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment