Sunday, July 12, 2015

MATOKEO YA UCHAGUZI NI John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%.

July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!!Kura zimepigwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na matokeo yako hivi  John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%.Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku...
habari kamili :: read more...

Tuesday, July 7, 2015

Ramadhani Singano "MESSI wa Bongo" huru kusajiliwa na Timu yoyote.

HATIMAYE Shirikisho la soka Tanzania limethibitisha kuwa mchezaji Ramadhani Singano ‘Messi’ kuwa yupo huru na anaweza kusajiliwa na timu yeyote itakayo muhitaji baada ya klabu yake aliyokuwa akiichezea siku za nyuma Simba kushindwa kutekeleza baadhi ya vipengele vilivyopo kwenye mkataba...
habari kamili :: read more...

Sunday, May 17, 2015

Impossible for Liverpool to replace Gerrard, admits Rodgers.

Gerrard thanked an emotional Anfield crowd after making his final appearance in front of the Kop on Saturday, but hopes of a fairytale ending were shattered as Crystal Palace ran out 3-1 winners.The 34-year-old is joining MLS outfit LA Galaxy this summer after a 17-year professional career on Merseyside that has yielded every major honour bar the...
habari kamili :: read more...

Thursday, February 12, 2015

MHE. WASIRA AAMUA KUMWONA NGOWI ILI AMTENGENEZEE SUTI ZAKE.

Mhe. Stephen Wasira akichukuliwa vipmo vya suti na mbunifu wa mavazi, Sheria Ngowi. BAADA ya kuandamwa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu kutofunga vizuri vifungo vya suti yake, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen Wasira ameamua kumuona mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ili aanze kumtengenezea suti zake. Waziri...
habari kamili :: read more...

Wednesday, February 11, 2015

U.S. Leads 12 Air Strikes Against Islamic State – U.S. Military.

The United States and its coalition partners has struck four units of Islamic State militants amid 11 air strikes in Iraq since early Monday, the U.S. military said in a statement while speaking with journalists, Reuters inclusive. The strikes, near seven Iraqi cities including Tal Afar, Kirkuk and Bayji, also hit an Islamic State bunker, fighting...
habari kamili :: read more...

Chibok girls have not yet released – Defence HQ.

Abuja (NAN) – The Defence Headquarters (DHQ) has said that “the story circulating in respect of the release of the Chibok girls is not true.” The clarification is contained in a statement posted on the DHQ website on Tuesday. According to the statement, the buses that drove into the barracks in Maiduguri purportedly carrying the girls were conveying...
habari kamili :: read more...

Tanzania Yasikitishwa na Uamuzi wa Kenya wa kuzuia magari ya kitalii ya Tanzania.

Serikali imeelezea kusikitishwa na uamuzi wa Kenya wa kuzuia magari ya kitalii ya Tanzania kwenda kuchukua na kushusha watalii wanaotumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, kwa kusema kuwa hatua hiyo haijengi wala kuendana na dhamira njema ya mkataba wa kuanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Waziri wa Afrika Mashariki, Dk Harrison...
habari kamili :: read more...

Thursday, February 5, 2015

EXCLUSIVE: TEVEZ AFUNGUKA ALIVYOTESWA.

EXCLUSIVE! Kile kisa cha mtalaka wa mwimba taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhani Nkongo ‘Isha Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’ kuteswa na kudhalilishwa nchini Afrika Kusini kisa kikidaiwa ni kudhulumu mzigo wa wafanyabiashara wenzake kimeingia awamu nyingine! Kwa mara ya kwanza Gazeti Pendwa la Amani Tanzania limeweza kuzungumza na Tevez kwa dakika...
habari kamili :: read more...

AUNTY: WANAOSEMA NIMEJIFUNGUA NI MAPEPO.

STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama wametumwa na mapepo wabaya. Staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel. Akizungumza na Centre Spread, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata...
habari kamili :: read more...

Muendesha pikipiki apigwa rirasi shingoni na kuporwa pikipiki mkoani Morogoro.

Mtu mmoja mikocheni wilayani mvomero mkoani Morogoro ameuwawa kwa kupigwa risasi shingoni na kisha kuporwa pikipiki aina Boxer ambapo jeshi la polisi linawashikilia watu watatu waliohusika na tukio hilo. Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paulo amesema jeshi la polisi lilifika katika eneo la tukio nakufanikiwa kuwakamata watu watatu wanasadikiwa...
habari kamili :: read more...

Tuesday, February 3, 2015

This Woman has refused to Smile for 40 years to avoid wrinkles.

It's 40 years now and this woman has neither smiled nor laughed. At nights out with friends she has made a conscious effort not to laugh or smile. Even with champagne flowing and their conversation gets more raucous and peals of laughter hang over their table. There’s always an odd one out in the happy scene. Tess, 50 sits stony-faced while her...
habari kamili :: read more...

Afisa Elimu Mbinga avuliwa madaraka.

BARAZA la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma limemvua madaraka afisa elimu msingi wa wilaya hiyo Daniel Mkali baada ya kufanyiwa uchunguzi kwa muda kwa tuhuma mbalimbali zilizotajwa na baadhi ya madiwani pamoja na viongozi wa idara hiyo ya elimu msingi na kuelekea kutishia kuibuka kwa mgogoro wilayani humo.   Akitangaza...
habari kamili :: read more...

HATIMAYE JOTI WA ORIGINAL COMEDY AMVISHA PETE MCHUMBA WAAKE WA SIKU NYINGI.

 Kwa mujibu wa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia. Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni...
habari kamili :: read more...

Saturday, January 31, 2015

Masogange Drops Five New K!lling Photos….Lazima uzione.

 Masogange Drops Five New K!lling Photos….Lazima uzione. (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Ronaldo akanusha ripoti za kumtukana Messi. (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); UNGANA NAMI KATIKA FACEBOOK KWA KUBOFYA Like HAPO JU...
habari kamili :: read more...

Sunday, January 11, 2015

DU kweli kazi ipo: Everton 1-1 Manchester City.

Steven Naismith's late equaliser ensured that Manchester City fell two points behind Chelsea in the Premier League title race after being held by Everton at Goodison Park. Manuel Pellegrini's defending champions entered the match level with the Blues at the Premier League summit and Fernandinho's 74th-minute header appeared set to preserve that...
habari kamili :: read more...

Saturday, January 10, 2015

MBUNGE WA MBEYA MJINI APATA AJARI MILIMA KITONGA IRINGA.

Mbunge wa mbeya mjini mr sugu akiwa na rafiki yake kando ya gari lao baada ya kupinduka katika mteremko wa kitonga leo. Ajari hiyo imetokea mchana wa leo wakati gari hilo likiwa na watu wanne likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es salaam,na hakuna aliyepoteza maisha katika ajari hiyo. Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan\ Mungi amethibitisha...
habari kamili :: read more...

MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL.

MAMBO si mambo! Tayari mimba ya muigizaji Aunt Ezekiel imeanza kumtibua baada ya nyota huyo kushindwa kufanya baadhi ya kazi ambazo alikuwa akizifanya mwenyewe. Mose Iyobo akimsaidia kuvaa kiatu muigizaji maarufu Bongo, Aunt Ezekiel. Kwa mujibu wa chanzo chetu, kutokana na tumbo kuwa kubwa, Aunt kwa sasa hawezi kufunga viatu vyake, kufua, kuosha...
habari kamili :: read more...

Friday, January 9, 2015

Meet this Sexy 61 year old Woman who stays young by sleeping with young men.

Laila Gledhill could easily pass for a woman in her forties - and the lady from Yorkshire claims to have dated over thirty strapping young men in her life.. She has been married to a 22-year-old army officer, engaged to a 27-year-old for four years and has a casual ongoing fling with a university student. And 61-year-old Laila Gledhill, isn't...
habari kamili :: read more...

Yaya Toure mwanasoka bora Barani Afrika.

kiungo wa timu ya Manchester City Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa mwaka wanne mfululizo. Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika...
habari kamili :: read more...

British Mother who still Breastfeeds her 6-yr-old Daughter says she has no plans to stop.

 Denise Sumpter,44, still breast-feed her 6-year-old daughter Belle who is the oldest of her children and Denise says she'll continue do to so until Belle decides it's time to stop. "I'll feed Belle as long as she asks," the 44-year-old mother told Daily Mail.The little girl nurses anywhere from twice a day to once a week. Sometimes she'll...
habari kamili :: read more...

UMEIPATA HII YA BILL GATES KUNYWA MAJI YA KINYESI.

Bill Gates akinywa maji yaliyotokana na kinyesi. Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea. Mwanzilishi huyo wa Microsoft amesema kuwa ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote...
habari kamili :: read more...

Wednesday, January 7, 2015

Ngumi, mabomu uapishaji wenyeviti wa mitaa.

ENEO la Riverside Ubungo jijini Dar es Salaam, jana liligeuka uwanja wa mapambano baada ya polisi kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi ili kunusuru hafla ya kuapishwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Kinondoni. Dalili za kuibuka kwa fujo zilianza kuonekana kwa wananchi waliokuwa wamekusanyika nje ya hoteli ya Land Mark ambako...
habari kamili :: read more...
 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online