Monday, September 22, 2014

TUNDA MAN: SIFIKIRII KABISA KUTOKA NA WEMA.


MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.

Tunda Mana katika pozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D' wakati wa mahojiano hayo.

Akuzungumza na Global TV kupitia kipindi cha Mtu Kati, Tunda alisema kuwa hafikirii hata mara moja kama atakuja kutoka kimapenzi na staa huyo kwa kuwa watakuwa wanapishana kwenye baadhi ya mambo.

LAANA++:BINTI AACHIA PICHA ZAKE ZA UTUPU MTANDAONI KUTAFUTA WANAUME.

“Wema ni rafiki yangu kama walivyo marafiki wengine lakini kitu kikubwa sitamani kabisa aje kuwa mpenzi wangu kwa sababu tutakuwa tunapishana katika baadhi ya mambo na hizi ngumi ninazocheza nahisi nitampiga mpaka nitauwa,” alisema Tunda Man.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top