Msanii wa Bongo Fleva, Linah Sanga akicheza na mmoja ya shabiki wake Ole Themba usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

Mashabiki wakiendelea kupagawa na burudani.

Mkali kutoka Morogoro, Stamina akiwapa burudani mashabiki wake sambamba Nay Wamitego.

Staa wa Bongo Fleva, Mr. Blue naye ndani.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo wakicheza.

Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu 'Baba Jonii' akifanya yake.

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment