Sunday, September 7, 2014

Suarez Haoni Ndani kwa Huyu Jamaa Huwaga Hana Mda ukimzingua Tu Unalo Ona Alivyomzingua Refarii Juzi.


Mshambuliaji Mario Balotelli mwenye umri wa miaka 24, aliyehamia Anfield kutoka AC Milan kwa
Pauni milioni 16 mwezi uliopita, jana alitolewa nje katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Wolves baada ya kuzozana na refa, Chris Foy.

Mario Balotelli has caused controversy less than two weeks into his Liverpool career after being substituted following an alleged kick during a private friendly against Wolverhampton Wanderers on Friday.

PHOTOS of Canadian Millionaire who pays $80,000 to have passionate kiss with Elizabeth Hurley.

Balotelli akielekea nje baada ya mzozo huo Bahati nzuri, alizuiwa na mchezaji mwenzake, Kolo Toure wakati Foy akizungumza naye kwenyemchezo huo.


Chanzo cha mzozo huo ni baada ya Mtaliano huyo kugongana na mchezaji wa Wolves. Baada ya
mzozo huo tu, Balotelli alitolewa nje mara moja.
 Kolo Toure (kushoto) akimzuia Balotelli asiendeleena mzozo


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top