Akizungumza na kituo cha redio cha Victoria FM kilichopo mjini Musoma, Nay amesema amekuwa akipokea maswali mengi yakitaka kujua kama anajihusisha na jamii ya siri ya freemason kutokana na matendo yake.
Sunday, September 7, 2014
HAYA NDIYO MAJAIBU YA NAY WA MITEGO KUHUSU KUJIHUSISHA NA FREEMASON.
Rapper
Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni alizusha maneno mengi kutokana na
video ya wimbo wake yenye mambo ya kutisha, amewajibu mashabiki wake
kwamba hajali kuhusishwa na ufreemason ilimradi anaingiza pesa
anayoitaka.
Akizungumza na kituo cha redio cha Victoria FM kilichopo mjini Musoma, Nay amesema amekuwa akipokea maswali mengi yakitaka kujua kama anajihusisha na jamii ya siri ya freemason kutokana na matendo yake.
Akizungumza na kituo cha redio cha Victoria FM kilichopo mjini Musoma, Nay amesema amekuwa akipokea maswali mengi yakitaka kujua kama anajihusisha na jamii ya siri ya freemason kutokana na matendo yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment