Sunday, September 7, 2014

Alshabaab lathibitisha kifo cha Godane; Wamesema wamemchagua Ahmad Omar kuchukua nafasi yake,katika mkutano uliofanyika eneo lisilojulikana.

Kundi la wapiganaji wa kisomali Al-shabaab limethibitisha kuwa kiongozi wake Ahmed Abdi Godane aliuawa siku ya jumatatu katika shambulizi la angani lililotekelezwa na wanajeshi wa Marekani.

Msemaji wa Alshabaab amesema kuwa wanachama wengine wawili wa kundi hilo pia walifariki katika shambulizi hilo ,yapata kilomita 170 kusini mwa mji mkuu wa Mogadishu

Ripoti zinasema kuwa kundi la Alshabaab limemchagua kiongozi mpya Ahmad Omar,katika mkutano uliofanyika katika eneo lisilojulikana.

Tofauti ya Rais Uhuru Kenyatta na Marais wengine wa Hii Hapa.

Mwandishi wa BBC mjini Nairobi amesema kuwa kiongozi huyo hafahamiki vyema.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

PHOTOS of Canadian Millionaire who pays $80,000 to have passionate kiss with Elizabeth Hurley.


PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top