Sunday, September 7, 2014

MBUNGE WA NZEGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA 2015 KWA TIKETI YA CCM.


Mbunge wa Nzega CCM Dr. Hamis Kigwangalla, akitangaza rasmi nia yake ya kugombea Urais kupitia tiketi ya CCM mwakani 2015 amesema kutokea kuuza karanga na biggee mtaani mpaka kuwa Doctor Mbunge na Kiongozi wa CCM Taifa na kufikia na ndoto ya kutegemea kugombea Urais ina maana moja tu kwamba sera za CCM zina tija kwa Taifa na wananchi wake na yeye ni mfano wa kwanza mkubwa wa kuaminiwa kwamba sera hizo zinajali usawa kwa wananchi kwani pamoja na kupitia yote aliyopitia bado anaweza kutuhubutu kugombea Urais wa Tanzania kwa kukubaliwa na kuruhusiwa kikatiba na chama chake CCM na kuruhusiwa kisheria na Sheria za Jamhuri ya Tanzania.


PHOTOS of Canadian Millionaire who pays $80,000 to have passionate kiss with Elizabeth Hurley.







HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

MFALME MSWATI AOA TENA BINTI WA 14 KATIKA SHEREHE ZILIZOWASHINDANISHA WAREMBO ELFU 80 WENYE BIKRA.


PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top