Sunday, September 7, 2014

Tofauti ya Rais Uhuru Kenyatta na Marais wengine wa Hii Hapa.


Ripota Julius Kepkoich anatiririka kwamba Uhuru Kenyatta ametajwa kama rais anayejitokeza kwa njia ya kipekee toka Kenya ianze kutawaliwa akiwa pia ni rais wa kwanza kenya kumiliki kiti kilichowahi kukaliwa na baba yake.

MFALME MSWATI AOA TENA BINTI WA 14 KATIKA SHEREHE ZILIZOWASHINDANISHA WAREMBO ELFU 80 WENYE BIKRA.

Tangu kutwaa madaraka Kenyatta amekua akifanya mambo yasiyo ya kawaida kwa Rais yeyote hasa hapa Afrika yeye ametajwa kua  anatumia sana mitandao ya kijamii kuwasiliana na watu, pia amewashangaza wengi kwa kutumia gari moja tu kwenye shughuli zake za kibinafsi.


Kingine alichotajwa nacho ni kujichanganya na raia wengine wa kawaida kwenye maisha ya kawaida kabisa hata kununua karanga kwenye foleni ya magari, kujivinjari ufukweni Mombasa na wakenya tu wa kawaida.
Wiki hii Rais Kenyatta anatufungia wiki kenya kwa picha za kipekee alizopost akiwa na magwanda ya kijeshi juu chini, ikasababisha iwe ni trend kwenye mitandao na kila mtu akaandika chakwake, mwingine military Swagg, ameamua kwenda somalia mwenyewe, the happiest Army officer na commander in chief na mengineo

 


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

PHOTOS of Canadian Millionaire who pays $80,000 to have passionate kiss with Elizabeth Hurley.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top