Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa Gor Mahia
Mashabiki wa Simba wakiendelea kuangalia mechi.
SIMBA SC imeonyesha ubora wake wa msimu huu, baada ya kuwafumua mabingwa wa Kenya, Gor Mahia mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yamepatikana kipindi cha pili, wafungaji Paul Kiongera aliyeiadhibu mara mbili timu yake ya zamani na Ramadhani SIngano ‘Messi’ moja.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment