New gossip zinasema kuwa star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto pia
Lulu Elizabeth Michael hadumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na
kutaka kum-control mwanaume anayekuwa nae.
Inadaiwa
Lulu hataki mchezo mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe
hafurukuti. Inadaiwa kuwa hivi miezi ya karibuni alikuwa na jamaa mmoja
mdogo kimapenzi akamwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja
kijana wa madin toka Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu
baada ya Lulu kama kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo.
Chanzo kimoja kikizungumza na
Sani kilisema "\
"Ni mtu mwenye isirani kwa wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae
ni wale wavumilivu sana, nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji mtaalam
wa saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvnja simu na
kurejesha kila kitu alichokuwa amepewa" kilisema chanzo hicho kilichodai ni mshikaji wa karibu na Lulu.
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment