
Magoli ya Spain Yalifungwa na Sergio Ramos 15',Paco Alcácer 17',Busquets 45'+,David Silva 50',
Pedro 90'+ Huku Lile la kufutia machozi la MaceDonia likifungwana A. Ibraimi 28'.
Hadi kipenga kinapulizwa Spain 5-1 Macedonia.
Show your Support. Become a FAN! By Clicking Like Below
Kuwa. Msomajiwetu! Kwa kubofya Like Hapo chin
Contact Us
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment