Monday, September 8, 2014

MH. LOWASSA AMFARIJI MZEE NDEJEMBI,KUFUATIA KIFO CHA MJUKUU WAKE Betty Ndejembi.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na mdogo wa marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam.Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao marehemu alikuwa mjukuu wao.

Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa mwanasiasa huyo mkongwe eneo la Uzunguni mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na mjukuu wake huyo.

Mzee Ndejembi akimuelezea Mh Lowassa mkasa mzima wa kifo Cha mjukuu wake, Betty Ndejembi aliyeuawa jijini dar es salaam na watu wasiyojulikana

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

HIVI NDIVYO MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA ALIVYOKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online