Thursday, August 7, 2014

VIATU VIREFU VYAMWAIBISHA MAIMARTHA; MCHEKI ALIVYO AIBIKA NA KIMINI CHAKE MBELE ZA WATU.


MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa.


Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse.

Paparazi wetu alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu virefu na alipoulizwa kulikoni anachechemea alijibu kwamba aliteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu.

KATANGAZE: Aunt Ezekiel Afumaniwa na Dansa wa Diamond Ambaye ni Mme wa Mtu waki Du Nyumbani Kwa Wema Sepetu.

“Nimeumia mguu baada ya kudondoshwa na hivi viatu virefu lakini sikomi kwa sababu navipenda sana na nikivaa ndiyo nakuwa mrembo zaidi,” alisema Maimartha.

Binti wa miaka 19 ambaye ni mwanachuo awaambukiza ukimwi wanaume 324 miongoni mwao wakiwa ni waume za watu


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA. 

PASTOR MYAMBA Afunga Harusi ya Kufuru! KAMATI PEKE YAKE ILIMZAWADIA Million 250;Dada Mtu Nae Million 100.Wapambe ....

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top