Thursday, August 7, 2014

SHILOLE, NUH MZIWANDA WAMALIZA TOFAUTI ZAO NA KUANZA ONYESHANA MAPENZI UPYA.

 Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana wamesambaza  picha kupitia account zao Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.





Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi
ya miezi kadha iliyotabiriwa.



Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA. 


MTOTO ANUSURIKA KUBAKWA KIBAHA; MTUHUMIWA ATOA ELFU 20000/= KUYAMALIZA.

ISOME NA HII PICHA ZA BINTI ALIYELIWA KA.....BANG BAADA YA KUKOLEZESHWA POMBE. 

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top