Thursday, August 7, 2014

MWAKIFWAMBA AMPONGEZA AUNT EZEKIEL KWA KUKAA MJINI AKITEGEMEA WANAUME.


RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba amempongeza msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel baada ya hivi karibuni kuandikwa kwenye mitandao mbalimbali kwamba sanaa hailipi hivyo wasanii wa kike wanaishi kwa kupewa fedha na wanaume zao.


Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba.

Akistorisha na paparazi wetu, Mwakifwamba alisema kauli hiyo aliyotoa Aunt ni ukweli mtupu kwani kwa Tanzania sanaa hailipi hivyo wasichana wengi wanaishi kutokana na fedha wanazopata kwa mabwana zao ndiyo maana unakuta wanatembelea magari ya kifahari mpaka watu wanajiuliza wanapata wapi.

Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel.

“Alichokisema Aunt ni kweli kabisa na mimi nilishaongea sana kuhusu wasanii wa kike kuuza sura kwa ajili ya kupata mabwana hata Steve Nyerere alishakiri kwamba kwenye tasnia kuna wanaume wanajihusisha na ushoga, sanaa ngumu jamani,” alisema

KATANGAZE: Aunt Ezekiel Afumaniwa na Dansa wa Diamond Ambaye ni Mme wa Mtu waki Du Nyumbani Kwa Wema Sepetu.




Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA. 

ISOME NA HII

Yaliyomkuta Agnes Masogange ndani ya uwanja wa ndege Juzi HAYA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top