
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange(wa nne kushoto) pamoja na ujumbe wake, akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga(wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na mtumishi wa Hoteli ya Continental ya Dubai, ambaye kwa sasa ndiye Mtu Mrefu Duniani.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment