Wednesday, August 6, 2014

Moja ya swali lisilo na Adabu aliloulizwa Rais Kikwete kwenye mazungumzo na Watanzania waishio Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete Usiku wa Agosti 2 2014,alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot iliyopo jijini Washington DC Baada ya hotuba yake,Rais Kikwete aliruhusu maswali kutoka kwa Watanzania hao.

Miongoni mwa maswali hayo ni yale yaliyotaka uthibitisho wa Rais juu ya taarifa aliyowahi kuitoa Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa kuhusu madai ya Ridhiwan Kikwete kukamatwa na madawa ya klulevya China.

Rais ametoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo,yapo maswali mengi mengine ambayo Rais ameulizwa,Ripota  karekodi kila kitu na hiki ndicho kilichotokea.
Hizi ni dakika 30 za maswali hayo na majibu,Bonyeza play kusikiliza


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top