
Picha za timu zote mbili zikimenyena vikali.
Gari la Jeshi la timu ya JKT Ruvu likiwasubiri wachezaji nje ya uwanja.
Mipira ya ziada na maji ya kunywa kwa ajili ya wachezaji.
TIMU ya Ndanda Fc kutoka Mtwara imemenyana vikali na timu ya JKT Ruvu katika mechi ya kirafiki iliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ardhi, Jijini Dar es Salaam.Katika mechi hiyo, Ndanda FC imeibuka kidedea kwa kuwachapa timu hiyo ya wajeda jumla ya mabao 4-1.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment