Tuesday, August 19, 2014

JAJI LEWIS MAKAME ATAZIKWA PONGWE, TANGA JUMAMOSI.


Marehemu Jaji Mstaafu  Lewis Makame enzi za uhai wake.

Nyumbani kwa marehemu eneo la Masaki, Dar es Salaam.

Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani,  akitoa utaratibu wa mazishi ya  Makame.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu.



Ndugu na jamaa wakiwa msibani.

Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa New Habari Cooperation, Absalom Kibanda, akiwa na Agustino Ramadhani  nyumbani  Makame.

MWILI  wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Lewis Makame,  utaagwa siku ya Ijumaa asubuhi nyumbani kwake Masaki,  na baadaye kupelekwa katika kanisa la Mtakatifu Alban, Upanga, jijini Dar es Salaam kwa maombi na kisha kusafirishwa kuelekea Pongwe, Mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.Kujua mengi kuhusu tukio hili tembelea Global TV Online.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU ROSE MUHANDO AFIKISHWA POLISI KWA KUPOKEA PESA YA KUPIGA SHOO NA KUINGIA MITINI.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top