Monday, August 4, 2014

ADEN RAGE APATA AJALI DODOMA JIONI HII.

MBUNGE wa Tabora mjini (CCM), Ismail Aden Rage (pichani) na wenzake wanne wamenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lao walilokuwa wakisafiria kutoka Tabaora kwenda Dodoma eneo la Chigongwe mkoani Dodoma leo.

Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari walilokuwemo kujaribu kulikwepa lori lililokuwa mbele yao na kupinduka.

Rage alikuwa anaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba vinavyoanza kesho.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

Dada etu Agnes Masogange azidhi kukoleza Utam Instagram kwa kaka zetu mnaokesha Kwenye Mtandao huo.

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top