Monday, August 4, 2014

Tajiri wa Saudi atikisa Mitaa ya London na Range Rover ya Dhahabu.


 ‘666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou Theriou’ lakini kwa tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo zinazosomeka kama plate number ya gari yake ya kifahari aina ya Range Rover.


Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, Uingereza kuishangaa baada ya kuiona ikiwa na mtalii huyo akila mitaa ya London kwakuwa ni gari ya dhahabu!!
article-2715538-203E1C0B00000578-85_634x372
Gari hiyo ina thamani ya £150,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za Tanzania. Range Rover mpya na ya kawaida huuzwa kwa bei ya wala u £100,000.

Dada etu Agnes Masogange azidhi kukoleza Utam Instagram kwa kaka zetu mnaokesha Kwenye Mtandao huo.



Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII Binti afanyiwa mchezo mchafu chooni baada ya kulewa vibaya akiwa Night Club.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top