Monday, August 4, 2014

WAWILI WAKAMATWA DAR, KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI WAKIWA NA SILAHA.

 Kamishina Kova akiwa ameshika bastola zilizokamatwa kwa watuhumiwa.

Bastola na risasi zilizokamatwa.

Baadhi ya vitu vingine vilivyokamatwa na jeshi la polisi.

JESHI la polisi linawashikilia majambazi wawili kwa tuhuma za kujihusisha na unyanga’nyi wa kutumia silaha  katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na mikoa ya jirani.

Watuhumiwa hao ni Fredy Steven (25) mfanyabiashara na mkazi wa Kiwalani, jijini Dar es Salaam, ambapo mwingine ni Irene Nyange (36) mfanyabiashara na makazi wa Kijitonyama, Dar. Uchunguzi unakamilishwa na watuhumiwa watafikishwa mahakamani wakati wowote.

Dada etu Agnes Masogange azidhi kukoleza Utam Instagram kwa kaka zetu mnaokesha Kwenye Mtandao huo.






Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

 Binti wa miaka 19 ambaye ni mwanachuo awaambukiza ukimwi wanaume 324 miongoni mwao wakiwa ni waume za watu.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top