Monday, August 4, 2014

POLISI FEKI USALAMA BARABARANI AONYESHWA MBELE YA WANAHABARI

 Kamishna Kova (katikati) akionesha kidole kwa polisi feki aliyekamatwa.

Sura ya ‘karibu’ ya askari huyo feki aliyekamatwa aitwaye Robson Seif Mwakyusa (30).

Kova akionyesha baadhi ya sare za jeshi la polisi alizokamatwa nazo polisi huyo feki.


Waandishi wa habari waliokuwa katika tukio hilo.

JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji mtu mmoja anayeitwa Robson Seif Mwakyusa (30) mkazi wa Kijitonyama Jijini Dar, kwa tuhuma za kujifanya ofisa wa polisi kikosi cha usalama barabarani  huku akifanya ukaguzi wa makosa ya usalama barabarani

Mtuhumiwa huyu alikamatwa umamosi  iliyopita huko Kata ya Chamazi, Mbagala-Majimatitu Mkoa wa Kipolisi Temeke akiwa amevalia sare za polisi na cheo cha stesheni sajenti na akiwa na leseni mbalinbali za magari, ‘radio-call’, stakabadhi, na vitu vingine.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII 

Dada etu Agnes Masogange azidhi kukoleza Utam Instagram kwa kaka zetu mnaokesha Kwenye Mtandao huo.

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top