Monday, August 4, 2014

Unaambiwa haya Ndio Mambo 10 wanayofikiria mabinti wapishanapo na Mwanaume njiani.

Soma hapa uelewe mambo ambayo mwanamke anawaza anapopishana na mwanaume

1.Kwanza hutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa
2.Kama nguo zako zimefubaa basi unatembea juani na kama nguo zimejikunja basi hata pasi huna
3.Nakama viatu vina vumbi basi moja kwa moja inaonyesha gari huna


4.Kama pesa hutoi kwenye waleti basi hujazoea kuwa na pesa na hata lakimoja hujawahi kuwa nayo
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hata hug au romance hujawhi pata kokote
6.Kama nywele huja chana inaonekana hujitunzi na hata zake hutoweza kugaramia
7.Ukiongea nae mda mrefu na maswali mengi basi una mtaka ila huelewi uanzaje kidume
8.Ukimshika au ukimgusa popote basi unamtaka kimwili
9.Kama nguo zako mkanda wa suruali na viatu havi machi basi pia moja kwa moja hujielewi na hujawahi kuwa na mwanamke
10.Usipomtazama machoni hujiamini na inaonekana muongo

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top