MASTAA wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’, Salma Salim ‘Sandra’ na Rose Ndauka juzi walikuwa kivutio kwa wananchi waishio maeneo ya Kinondoni jijini Dar baada ya kushindana kuzungusha nyonga.

Staa wa filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’.
“Dah kumbe mastaa wetu wana fani nyingi, angalia mauno yale utafikiri hawana mifupa sehemu za kiunoni,” alisikika akisema njemba moja lililokuwa likishuhudia shoo hiyo ya bure.

Staa wa filamu Bongo, Salma Salim ‘Sandra’.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment