Wednesday, July 2, 2014

Mfahamu mrembo wa Nigeria alietoa Offer ya ngono kwa Kila Boko Haram ili iwaachie wasichana mateka.

Anaitwa Adokiye Kyrian na ni Bikira kwa mujibu wake .

Pamoja na kuwa Mzuri Lakini wapiganaji hao wa msitni hawajajibu Lolote.
Amesema yuko tayari kufanya mapenzi na Kila Boko Haramu ilimradi wawaachie wasichana zaidi ya 200 mateka. Hadi sasa Bado Hamna dalili zozote za kupatikana kwa wadada hao licha ya juhudi za jeshi la Nigeria za kupambana na kikundi hicho.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top