Kwa nguvu waliyonayo na urahisi wa kuwafikia Watanzania wengi,
Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya waliamua kufanya tukio la
kihistoria na kuungana kuimba wimbo wa miaka 50 ya Tanzania.
President wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ndio
alibonyeza play na kuizindua video hii uwanja wa Jamuhuri Dodoma (104.4
Clouds FM) Jumamosi ya June 14 2014.
Unaweza kuitazama hii video yenyewe na kuniachia lako la moyoni kwenye comments hapo chini kwa chochote ulichoona mtu wangu.
VIDEO HII HAPA
Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment