Kwa mujibu wa AFP, msemaji wa serikali Ofwono Opondo, amethibitisha kuwa kituo cha NTV Uganda kimezuiwa kucover matukio ya Rais kutokana na tukio hilo.
“We have suspended their coverage of the president as we reconsider our relationship with them,”, alisema Opondo.
NTV_Uganda
Hata hivyo Opondo amesema kituo hicho hakijasimamishwa moja kwa moja kucover matukio ya Rais, bali itakuwa ni kwa muda.
“The suspension should not be permanent, it’s temporary, to make them think.”
Kituo NTV Uganda kimesema kuwa bado hakijapata taarifa za kufungiwa kucover matukio ya Rais.
Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment