Thursday, June 19, 2014

HEMEDY PHD: NIMESHA CHAFUA SANA SASA NATAKA KUOA.PICHA ZA MCHUMBA WAKE HIZI HAPA.

 muna akiwa kwenye pozi tata

Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.


Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november
 huyu ndiyo mchumba wa Hemedy anaitwa  Muna aka Momo



Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top