Thursday, February 6, 2014
Browse » Home »
siasa
,
udaku
» Watu 48 waliohusika na vurugu za kufunga barabara ya Morogoro-Iringa leo watiwa mbaroni.
Watu 48 waliohusika na vurugu za kufunga barabara ya Morogoro-Iringa leo watiwa mbaroni.
Wakazi wa doma wilayani Mvomero wakiwa mbaroni kwa tuhuma za kufunga barabara ya Morogoro na Iringa wakishinikiza wafugaji kuondolewa eneo hilo.
WATU 48 wanashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufunga barabara ya Morogoro na Iringa wakishinikiza wafugaji wa jamii ya Kimasai kuhamisha katika eneo la Doma wilayani Mvomero.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment