Moja ya kamera zetu zilimnasa mrembo huyu mida ya saa nane mchana baada ya kufakamia pombe kuanzia mida ya saa sita,
Baada ya kufanya uchunguzi wa kina iligundulika mdada huyu alipigwa kibuti na mpenzi wake na kuamua kunywa pombe kwa ajili ya kuondoa mawazo na ndipo alipozodiwa na kuuchapa vibaya pembeni ya baa ndipo vijana wa baa walimla uroda kisha kumvalisha vizuri na kumwacha pale pale.
aliposhtuka akajicheki ndipo alibaini kuwa mambo yashaharika akaamka fasta na kutoka eneo la tukio.
ONYO: POMBE HAIONDOI MAWAZO ZAIDI YA KUKULETEA MATATIZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.jpg)


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment