Friday, October 17, 2014

UCHAGUZI MSUMBIJI: RENAMO HATUTAMBUI MATOKEO.

 Kiongozi wa Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO, Alfonso Dlakama (katikati).

Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO kimetoa yake ya moyoni kuwa hawatayakubali matokeo yajayo ya uraisi na ubunge pamoja na serikali za mitaa.

Msemaji wa chama hicho Antonio Muchanga amesema kwamba kumekuwa na ukiukwaji wa taratibu katika upigaji kura huo na udanganyifu wa kura.

Matokeo ya awali katika uchaguzi huo zinaonesha kwamba chama cha FRELIMO kinaongoza katika uchaguzi huo.Wakati haya yakitokea kumekuwa na uvunjifu wa amani wakati polisi walipo ingia katika ghasia na waandamanaji waliokusanyika nje ya vituo vya kupigia kura kufuatilia zoezi la uhesabuji wa kura.

Ingawa wafuatiliaji wa uchaguzi nchini Zimbabwe wanaeleza kuwa pamoja na yote hayo,uchaguzi huo ulikua huru na wa haki.ikumbukwe kuwa chama cha Renamo na chas Frelimo walipigana vita ya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mnamo mwaka 1982.

VAI WA UKWELI: SIPIKI, HIYO KAZI YA HAUSI GELI MI NAMSTAREHESHA MPENZI TU!


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top