Friday, October 3, 2014

TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU CLUB YA MAISHA JIJINI DAR‏.



Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo yao iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba  moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar.

 Mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Msafiri Diouf akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo iliyofanyika club maisha jijini dar.


 
Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.

LAANA:TAZAMA PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI HUYU WA CHUO.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top