Friday, October 3, 2014

HIVI NDIVYO HALI YA MAMBO ILIVYOKUWA KATIKA SHEREHE YA BETHIDEI YA DIAMOND PLATINUMZ GOLDEN JUBILEE, DAR.

 Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ akiwa na mpenzi wake, Wema Sepetu
‘Beautiful Onyinye’ ndani ya Golden Jubilee usiku wa kuamkia leo.

Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akifanya yake.

Wema Sepetu akimuweka sawa mpenzi wake.

Wema (kulia) akiwasha mishumaa kabla ya Diamond Platinumz kukata keki.

Ni sheeedah! Diamond Platinumz na Wema Sepetu wakilishana keki.

Gari aina ya BMW X6 aliyozawadiwa na uongozi wake kwenye sherehe ya bethidei yake iliyofanyika ukumbi wa Golden Jubilee usiku wa kuamkia leo.

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' alizaliwa Octoba 2, 1989. Sherehe ya bethidei yake ilifanyika ukumbi wa Golden Jubilee usiku wa kuamkia leo na kuhudhuriwa na mastaa miongoni mwao ni T.I.D, Chidi Benz, Profesa Jay, B12, Elizabeth michael 'Lulu', Ommy Dimpoz na wengine.

POMBE NI NOMAAAA; WAZUNGU WABAKWA BAADA YA KUFAKAMIA POMBE.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top